Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Nakumbuka kuna single dady humu jf alimwambia mchumba 3 weeks before ndoa kufungwa, alibaki analia tuu
 
sijamjua vizuri anaanza kuni introduce kuwa yeye ana mtoto na ni lazima nibond na mtoto ndipo niweze kuwa na yeye.
Nafikili hili ni kosa kubwa single mother wanafanya, me sidhani anaweza penda mtoto.
Kama atakubali kuhudumia sawa ila sio kumpenda.
 
yani alishagawa product number one kwa mwingine alafu makapi akuletee ww ukale kweli?
 
Single mother aolewe na single father hapo Ngoma bila bila
 
kiukweli kabisa wanawake huwa ni waathirika zaidi wa hili swala.. hivi mtu amekuacha ameenda kuoa mtu mwingine.. it means ameona ww unamapungufu mengi ya kutoweza kukuvumilia,, unajipendekeza kwake tena ya nini... kama unauwezo mlee mwanao mwenyewe kata mawasiliano, ukipata mume mwingine sema baba wa mwanao hujui alipo alipokupa ujauzito alikutukana akakataa mimba si yake, na pengine ameshakufa na hupend haa kumsikia.. mnajiharibia sana!!
 
Sasa kama mtoto anamjua baba mtoto.
 
Sasa kama mtoto anamjua baba mtoto.

Sasa kama mtoto anamjua baba mtoto.
tafuta mbinu ya kumsahaulisha tuu,, vinginevyo utaharibu vingi hasa future ya familia yako.. yeye kule anaenjoy na mkewe, wewe huku umegeuzwa mashine ya kutotolea.. ningekua mdada mimi, ningekua nawaambia sory, unajua yule mtoto si wako, nilikua na mahusiano na mtu mwingine, juzi nimepima DNA nimejua ni wa kwake.. huku namwambia jamaa baba yake na mtoto alisha kufa... haya mambo yanaleta mkanganyiko sana kwenye familia,, mara child support, kwani huku dogo hali? havalishwi? huo ni mtego na kudhalilishana, imagine mmeo anawaza mengi mlikulana mkakojoleana na mimba mkapeana.. mtalaumu sana wanaume wanaokwepa hii,, lkn sometimes tunakwepa maumivu...
 
😂😂😂Wajumbe mpo vizuri
 
Mimi nafikili mwanaume sio rahisi kupenda mtoto,
Japo wengi wanalazimisha tuu
Una mwekea vipi sharti la kumpenda mtoto wako ndipo muwe pamoja na kinyume chake haitawezekana, huyo ni damu yake hadi apende ya lazima?!
 

wanawake ni wadhaifu sana[emoji23] mwanamke anaeza akakuacha wewe kwasababu ya mkaka mwenye sauti nzuri[emoji1787] au anaemtumia txt siku nzima sembuse kurudiana na baby daddy wake[emoji119][emoji119] hapo ni mwanaume mwenyew kama mwanamke humtaki na mmeshazaa basi mwache na maisha yake mana ulishaona hafai wa nn sasa kumsumbua??
 
Maji siku zote hufuata mkondo, vivyo kama mwanamke sio malaya una msimamo na maisha yako unajitambua huwezi gawa papuchi kwa mtu ambaye alikuzalisha na akakutupa. Kama mwanamke ni mzima kwenye nyaya zake, hata mawasiliano kuhusu mtoto yana mpaka lakini waliokatikiwa center bolt unakuta muda wote anachat na Baba wa mtoto.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi huyo ukute alikua anamwelewa sanaa mzazi mwenziee[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hilo jina tu unalotumia ni la yule Single mother anayevuruga ukoo wa malkia kule kwa kuleta vituko as if alilazimishwa kuolewa kwenye ukoo wa ufalme kisha anaanza wapangia yeye namna ya kuishi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji114]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…