- Thread starter
- #541
Wapo wanaofumaniwa hivyo.Hakuna kitu inaumiza eti anakuaga natoka naenda sehemu halafu unakuja kufumania liko na mzazi mwenzake,halafu anaanza kujitetea eti ohh nilikuwa nimefuata matumizi ya mtoto...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wanaofumaniwa hivyo.Hakuna kitu inaumiza eti anakuaga natoka naenda sehemu halafu unakuja kufumania liko na mzazi mwenzake,halafu anaanza kujitetea eti ohh nilikuwa nimefuata matumizi ya mtoto...
Haaaaa alikuwa anakuvuta niniAlikua anaeleza negative side za jamaa aliemzalisha
Nakumbuka kuna single dady humu jf alimwambia mchumba 3 weeks before ndoa kufungwa, alibaki analia tuuAlafu single mom huwa hawataki kujifunza kwa single Dad, single Dad kitu Cha kwanza atamwambia Mwanamke yoyote atakae taka kua nae Kama kweli atampenda Mtoto wake aliye zaa na Mwanamke mwingine!? Single Dad huwa hawafichi Watoto wao eti kisa mapenzi!! Wanawake jifunzeni hilo!!
Sema nlishamsoma kitambo ikabidi nimuitikie tu mwisho wa siku nikamshikisha ukuta na maisha yakaendeleaHaaaaa alikuwa anakuvuta nini
Nafikili hili ni kosa kubwa single mother wanafanya, me sidhani anaweza penda mtoto.sijamjua vizuri anaanza kuni introduce kuwa yeye ana mtoto na ni lazima nibond na mtoto ndipo niweze kuwa na yeye.
Single mother aolewe na single father hapo Ngoma bila bilaUwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
mbona ID ya kambi ya fisi?Life torture
psychology..Usituzuge,,huyo ni wewe mwenyewe. Acha kusingizia eti ni mdogoako. Acha kumfubaza mtoto wa watu utakula ulikopeleka mboga.
Sasa kama mtoto anamjua baba mtoto.kiukweli kabisa wanawake huwa ni waathirika zaidi wa hili swala.. hivi mtu amekuacha ameenda kuoa mtu mwingine.. it means ameona ww unamapungufu mengi ya kutoweza kukuvumilia,, unajipendekeza kwake tena ya nini... kama unauwezo mlee mwanao mwenyewe kata mawasiliano, ukipata mume mwingine sema baba wa mwanao hujui alipo alipokupa ujauzito alikutukana akakataa mimba si yake, na pengine ameshakufa na hupend haa kumsikia.. mnajiharibia sana!!
Sasa kama mtoto anamjua baba mtoto.
tafuta mbinu ya kumsahaulisha tuu,, vinginevyo utaharibu vingi hasa future ya familia yako.. yeye kule anaenjoy na mkewe, wewe huku umegeuzwa mashine ya kutotolea.. ningekua mdada mimi, ningekua nawaambia sory, unajua yule mtoto si wako, nilikua na mahusiano na mtu mwingine, juzi nimepima DNA nimejua ni wa kwake.. huku namwambia jamaa baba yake na mtoto alisha kufa... haya mambo yanaleta mkanganyiko sana kwenye familia,, mara child support, kwani huku dogo hali? havalishwi? huo ni mtego na kudhalilishana, imagine mmeo anawaza mengi mlikulana mkakojoleana na mimba mkapeana.. mtalaumu sana wanaume wanaokwepa hii,, lkn sometimes tunakwepa maumivu...Sasa kama mtoto anamjua baba mtoto.
Labda imekuwa HANDCAP timu ya nyumbani imepewa goli moja kabla ya mechi 🤣Mechi inaanza 0-0
Sasa mechi ianze 1 bila hapana hapana hapana
😂😂😂Wajumbe mpo vizuriTulikubaliana kikao cha mwisho single mother tunaoa endapo utaonyeshwa kaburi la mzazi mwenza.
Lakini kuna mjumbe mmoja akaongezea ni lazima uonyeshwe CD au flash yenye video ya mazishi ikiwa imeambatana na maelezo ya historia fupi ya marehem yenye kuthibitisha kua ni kweli ameacha single mother (ikiwa linatajwa kabisa jina la huyo mama) pamoja na mtoto. Tena wawe wameonekana wakiwa wanahudhuria hayo mazishi kupitia hiyo video.
Kinyume na hapo USIOE.
Una mwekea vipi sharti la kumpenda mtoto wako ndipo muwe pamoja na kinyume chake haitawezekana, huyo ni damu yake hadi apende ya lazima?!Mimi nafikili mwanaume sio rahisi kupenda mtoto,
Japo wengi wanalazimisha tuu
Hapo ni kweli, ila mwanamke inapaswa kujua kuwa ukipendwa na mtu basi nawewe penedeka na hao wanaosema sitaki mwanangu alelewe na mwanaume mwingine ni ujinga tu, kama anamaanisha kwanini sasa asikuoe basi lakini utakuata mwanamke anagawa papuchi kwa Baby daddy.
Maji siku zote hufuata mkondo, vivyo kama mwanamke sio malaya una msimamo na maisha yako unajitambua huwezi gawa papuchi kwa mtu ambaye alikuzalisha na akakutupa. Kama mwanamke ni mzima kwenye nyaya zake, hata mawasiliano kuhusu mtoto yana mpaka lakini waliokatikiwa center bolt unakuta muda wote anachat na Baba wa mtoto.wanawake ni wadhaifu sana[emoji23] mwanamke anaeza akakuacha wewe kwasababu ya mkaka mwenye sauti nzuri[emoji1787] au anaemtumia txt siku nzima sembuse kurudiana na baby daddy wake[emoji119][emoji119] hapo ni mwanaume mwenyew kama mwanamke humtaki na mmeshazaa basi mwache na maisha yake mana ulishaona hafai wa nn sasa kumsumbua??
Maji siku zote hufuata mkondo, vivyo kama mwanamke sio malaya una msimamo na maisha yako unajitambua huwezi gawa papuchi kwa mtu ambaye alikuzalisha na akakutupa. Kama mwanamke ni mzima kwenye nyaya zake, hata mawasiliano kuhusu mtoto yana mpaka lakini waliokatikiwa center bolt unakuta muda wote anachat na Baba wa mtoto.
Hataki nimchukue,namlipia ada lkn huduma nyingine sitoi sababu hataki hata nione mtoto,ameamua kum'gan'ganiaNoma sana!kikubwa mchukue mtoto.huyo binti alikua kilaza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji114]Hilo jina tu unalotumia ni la yule Single mother anayevuruga ukoo wa malkia kule kwa kuleta vituko as if alilazimishwa kuolewa kwenye ukoo wa ufalme kisha anaanza wapangia yeye namna ya kuishi.