Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Akuje kwangu nimuwowe
 
Uta olewa tu binti ila pia likawe fundisho kwa wengine kuwa jitahidini unaye mfungulia na kula vya ikulu awe mtawala wa moja kwa moja.
 
Mwamba kacheza kama Pele , hakunaga mwanaume fresh anayeweza kubali kuoa single mother , ni by mistake Sana anaweza ingia na hata akigundua manyau nyau anachora chap , kila sku tunawaambia wadada usikubali kumzalia mwanaume ambaye hajakuoa ninkosa kubwa mno la kiufundi you will suffer a lot , utagawa mbunye Sana lakini wapi , Wana ni kupiga na kuchora
 
HUYO NDIO MWANAUME RIJALI SASA, MASINGO MAZA WOTE MKAOLEWE NA MLIOZAA NAO... MWANAUME NA AKILI ZAKO TIMAMU HUWEZ KUISHI NA SINGO MAZA... Labda kumzalisha na kumuacha kama alivyo achwa...
Mwanaume usijekurogwa ukaoa singo maza, utakuwa unafuga chatu atakayekuja kukumeza...
All in all KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI
 
Pole yake dah
 
Mwambie mdogo wako kwa hali na mali atafute wasukuma hawa jamaaa huwa hawajali kbs if u have child or children...napga mishe lake zone huwa naona masela ya kingosha yakpenda hayaangalii....sooo my advice is that
Mwambie atafute wasukuma tuu ...hilo swala dogo sn kwao
 
Acha kusifia ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…