Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

huyo msimbe ni wewe usiseme mdogo wako.
 
Kwa hiyo unataka wawe wanakuja na marafiki?wewe huwa hutaki Kwa muda au ndo Ile kichwa cha juu kikisimama kichwa cha chini maamuzi yanakuwa 0.
 
Ndugu yangu, sisi watu wa lake zone tunakuheshimu sana, nasi tunaomba utuheshimu japo kidogo tu [emoji4][emoji4]
 
Ndugu yangu, sisi wa lake zone tunakuheshimu sana, nasi tunaomba utuheshimu [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila ni kweli jamaa kawaheshima kina ngosha, msukuma akishapenda hua hana mambo mengi.
Mtaani kwetu kuna kibinti kizuri kinoma kimeshezalishwa watoto wawili.
Hicho kibinti ni cheupeeee sio kinene ila kina shepu kali kinyama shida yake kinapenda pombe hatari halafu kinagawa kama pipi.
Kishapigwa mtungo mara kibao na chenyewe hua kinajisifia kabisa kua ni bingwa wa dabo penetresheni pale kitaani, Bimkubwa wake nae ni mlevi mbwa ni yale mashangingi yaliyokubuhu.
Kuna msukuma alifungua duka la simu hapo mtaani, baada ya kumuona cheupe akapagawa, msukuma akaanza kuhonga mpaka akapewa mzigo.
Masikini msukuma wa watu sijui alipagawishwa na nini baada ya mwezi tu msukuma akatangaza ndoa kabisa.
Hata mwaka haujaisha msukuma wa watu kafilisika akapigwa chini, cheupe hataki hata kumuona mumewe ni anagawa tu hovyohovyo kwa masela.
Msukuma kakonda kinyama anaenda kupiga mpaka magoti kwa mama mkwe analilia penzi la mrembo.
Mama mkwe anamcheka huku anamwambia akatafute pesa kwanza akishazipata aje atamkuta tu mkewe yupo anamsubiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni sana wasukumu nyie mkipenda hua mnapenda kweli hamgeuki nyuma.
 
Duh, basi huyo mwamba katuangusha [emoji2][emoji2][emoji2]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wasukuma wapewe maua yao kwakweli kwa kupenda watoto weupe[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nani kakambia kinyume Cha kukataa kuoa single mother ni kuoa aliyetoa mimba,...usifosi mambo yasiyohusika kutetea hoja yako, all idea ni kuoa Mwanamke Fresh huyo aliyekula dawa sisi hatumjui unamjua wewe.
Wengi humu ni wazazi wa mabinti na wazazi watarajiwa unajuaje binti yako hata zaa kabla ya ndoa? Je vijana wakija kuonyesha interest utawaambia usimuoe binti yangu ni single maza?
Kwani tunaposema hatuoi single mother au tunasema wazazi wa hao single mother watwambie tusawaoe watoto wao, maana tungesema hivyo ndio ilibidi utoe hoja hio.

Mimi sioi single mother mwanangu akiwa single mother hio ni juu yake kitaja akimkataa kwasababu single mother YES yupo sahihi kwani kosa la kijana au huyo mtoto wangu mimi kazi yangu kuozesha sio kufanya Mapenzi yaende Hilo jukumu la mtoto kama kapewa mimba bila ndoa ni zigo lake nani abebe akitokea kijana wa kubeba YES vijana wakimkimbia YES.
Wangapi humu ni zao la single maza? Hivi mnavyo andika humu ndivyo mnavyoangalia mama zenu kua huyu Hana thamani ni single maza?
Mahusiano yako binafsi hayaingiliani na wazazi wako jitunze kuweka mpaka mamayako ni binadamu Kama binadamu mwengine ila ana NAFASI YA MAMA TU KWAKO lakini hio nafasi hana kwa wengine babako huyo mamayako alikuwa demu wake tu then mke means mwanaume alimpa mimba mamyako nae alisema napiga tu hapa nasepa, nawanaume wengine walimtema ti kwasababu yeye single mother as usual so kuwa mamayako hio nafasi ni kwako sio kwa wote.

Mama yangu sio single mother ila angekuwa hivyo still bado nisingeoa single maza na nisingekubali huo upuuzi yeye nini mamayangu huyo ni demu tu/mpenzi/mwanamke wangu tu.
Na mshawahi kujiuliza anaempa binti mimba akamuacha yeye akaenda kuoa a fresh girl (as you think) is he not as guilty as well ???
Kwani sisi wanaume tunaona wanaume wenzetu mpaka tujiulize kuhusu mwanaume aliyejaza mimba akasepa, mimi na deal na mwanamke kwasababu wewe ndio unaingia ndoani na mimi huyo mwanaume aliyekimbia hio no kesi yako/Mzigo wako wewe usiwape watu mizigo yako deal na zigo lako mimi zigo langu ni wewe nayetaka kukuoa ndio maana naandika hoja zangu hapa sikuoi goli moja bila.
Mosi, hakuna kitu kinaitwa 'Single Dads' usitafute 50/50 tatizo lenu ni kufosi 50/50 kwenye changamoto zinazowakabili tu na raha ila kwenye changamoto za wanaume munaacha iwe za wanaume tu...

Pili, hili ni suala la mwanaume(muoaji) sio suala la jamaii ninayenyoosha kidole ni mimi sio jamii, jamii has nothing to do with it...
Single mamas sio shida kikubwa jiridhishe kwamba ametulia na anajiheshimu hata Kama baba mtoto yupo kwenye picha, kuliko kuoa binti ambae anabwia ma P2 kila mwezi na Maria Stopes Ana Loyalty card!
Mbona unafosi kinyume Cha single mother ni wala P2 kutete hoja zako Kama unakula P2 ni wewe usiingize wanawake wenzie.
Disclaimer: Read this with an open mind maana mtahisi ni maoni ya single mom which is quite the opposite [emoji3577]
Ni Mwanaume asiyejielewa tu ndio utapata hio Open Mind yake, real nigga wanaofosi ku-make it kwenye hili life gumu huwezi mletea emotions zako hizi tunasota na life so tuna deserve mwanamke fresh mwenye utu na utulivu sio mwanamke aliyepigwa na kila mwanaume uje kula jasho letu.

Wewe na single mother wenzio pelekeni ugari mulipomwaga mboga.

Huu ni muda wa kila mwanaume rijali kuwa na standard ya maisha sio kupetipeti hawa watu.
 
Usilazimishe mapenzi.

Kama kuna sehemu hupendwi, hupendwi tu.

Tafuta atakayekupenda, utulie naye.
 
Nasema tena hapana. Mtoto anatakiwa aitwe jina la ukoo wangu sasa huyo aliyeletwa anakuja na jina la wapi.

Hao watoto wanakuwaga wasumbufu sana na wanaweza kukupa frustration kwenye malezi.

Mtoto anaweza kukosea ukimchapa unasikia kanaropoka "kwanza wewe sio baba yangu" iyo kitu inaumiza sana ni vile mnaunderestimate ilo swala.

Fingerprints zako kwa mtoto unazitengeneza mtoto akiwa na miaka chini ya 3. Mtoto apate joto na jasho lako mzee. Leo unaletewa mtoto hujui ametoka familia ya aina gani ghafla unakurupuka tuu unaweka mwanamke ndani.

Niliwahi kuwa na mmoja nikaja kujua ako na mtoto wa 8 years tena alishawahi tolewa hadi mahari lakini wakaachana. Sema ndio kamerudi home kamejiweka kama kabinti. Drama zao ni mingi sana hapo ni kabla sijaoa.

Wewe ni nani wa kufaulu alipofeli mwanaume mwenzako??
 
Yaani wewe dada sasa kwa nini usiolewe na aliyekuzalisha unanga'ng'ania watu wasiokutaka?
 
Wanawake wengi mnafeli hapa "SIKUPANGA KUWA NA MTOTO ILITOKEA TU"
Acheni kuongea huu ujinga na uongo kwa wanaume.
Wanaume tunajua MWANAMKE ANAFANYA MAPENZI NA MWANAUME ANAYEMPENDA.NA ANAZAA NA MWANAUME ANAYEMPENDA.
Wewe umezaa kabla ya ndoa,Je watoto wako watajifunza nini kwako? Umezini kabla ya ndoa, Watoto utawafundisha nini? MUNGU WAKO UMESHINDWA KUMUHESHIMU.mimi je ninaekuoa ukiwa na Mtoto utaniheshimu?
 
Unataka kusema pamoja na yote uloambiwa na pamoja na kuandika kabla ya kushare bado hujaelewa sababu za mdg wako kupigwa chini,ama umeforwad tu bila kusoma
 
Mie siyo MCHOYO au ROHO MBAYA. Niko tayari. Mlete mdogo wako tafadhali
 
Yaani wewe dada sasa kwa nini usiolewe na aliyekuzalisha unanga'ng'ania watu wasiokutaka?

Punguza mihemko ! Humu tunachangia hija kila mtu kwa anavyowaza na anavyoamini…hakuna sehemu nimesema nawazo yangu ni sheria.
Alafu kutoa mawazo haitoi marital status ya mtu so habari za sijui kuolewa na kuzalishwa umetoa wapi.
Changia kwa akili sio mihemko utaolewa shauri yako
 
Hapo ni hali ya kupambana na hali yako, kama ulikosea hatua, huna haja ya kumbebesha mtu mwingine yasiyomuhusu.
 
Umetema sana nondo mkuu, single mother haolewi na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…