Wanaume kuna wakati mnashangaza sana. Unakuta mtu anasema hawezi kuoa single mama…. Hebu tuambieni kipi bora kuoa single mama ambae Yes alikosea but katunza mimba Kazaa mtoto na sasa ametulia Kajifunza kutokana na makosa AU bora kuoa binti alie bwia ma contraception hadi kizazi kimepinda au katoa mimba mpka kizazi kina makunyanzi utamuoa hata msipate mtoto? Kipi bora???
Nani kakambia kinyume Cha kukataa kuoa single mother ni kuoa aliyetoa mimba,...usifosi mambo yasiyohusika kutetea hoja yako, all idea ni kuoa Mwanamke Fresh huyo aliyekula dawa sisi hatumjui unamjua wewe.
Wengi humu ni wazazi wa mabinti na wazazi watarajiwa unajuaje binti yako hata zaa kabla ya ndoa? Je vijana wakija kuonyesha interest utawaambia usimuoe binti yangu ni single maza?
Kwani tunaposema hatuoi single mother au tunasema wazazi wa hao single mother watwambie tusawaoe watoto wao, maana tungesema hivyo ndio ilibidi utoe hoja hio.
Mimi sioi single mother mwanangu akiwa single mother hio ni juu yake kitaja akimkataa kwasababu single mother YES yupo sahihi kwani kosa la kijana au huyo mtoto wangu mimi kazi yangu kuozesha sio kufanya Mapenzi yaende Hilo jukumu la mtoto kama kapewa mimba bila ndoa ni zigo lake nani abebe akitokea kijana wa kubeba YES vijana wakimkimbia YES.
Wangapi humu ni zao la single maza? Hivi mnavyo andika humu ndivyo mnavyoangalia mama zenu kua huyu Hana thamani ni single maza?
Mahusiano yako binafsi hayaingiliani na wazazi wako jitunze kuweka mpaka mamayako ni binadamu Kama binadamu mwengine ila ana NAFASI YA MAMA TU KWAKO lakini hio nafasi hana kwa wengine babako huyo mamayako alikuwa demu wake tu then mke means mwanaume alimpa mimba mamyako nae alisema napiga tu hapa nasepa, nawanaume wengine walimtema ti kwasababu yeye single mother as usual so kuwa mamayako hio nafasi ni kwako sio kwa wote.
Mama yangu sio single mother ila angekuwa hivyo still bado nisingeoa single maza na nisingekubali huo upuuzi yeye nini mamayangu huyo ni demu tu/mpenzi/mwanamke wangu tu.
Na mshawahi kujiuliza anaempa binti mimba akamuacha yeye akaenda kuoa a fresh girl (as you think) is he not as guilty as well ???
Kwani sisi wanaume tunaona wanaume wenzetu mpaka tujiulize kuhusu mwanaume aliyejaza mimba akasepa, mimi na deal na mwanamke kwasababu wewe ndio unaingia ndoani na mimi huyo mwanaume aliyekimbia hio no kesi yako/Mzigo wako wewe usiwape watu mizigo yako deal na zigo lako mimi zigo langu ni wewe nayetaka kukuoa ndio maana naandika hoja zangu hapa sikuoi goli moja bila.
Natamani ifike mahala jamii yetu isimnyooshee binti kidole kisa ni single mom bali tujikite pia kwenye kuongea na vijana wetu as they are also “single dads” na kuna mabinti pia hawatataka single dads kwa kuogopa pia baby mama dramas so it goes both ways!!!
Mosi, hakuna kitu kinaitwa 'Single Dads' usitafute 50/50 tatizo lenu ni kufosi 50/50 kwenye changamoto zinazowakabili tu na raha ila kwenye changamoto za wanaume munaacha iwe za wanaume tu...
Pili, hili ni suala la mwanaume(muoaji) sio suala la jamaii ninayenyoosha kidole ni mimi sio jamii, jamii has nothing to do with it...
Single mamas sio shida kikubwa jiridhishe kwamba ametulia na anajiheshimu hata Kama baba mtoto yupo kwenye picha, kuliko kuoa binti ambae anabwia ma P2 kila mwezi na Maria Stopes Ana Loyalty card!
Mbona unafosi kinyume Cha single mother ni wala P2 kutete hoja zako Kama unakula P2 ni wewe usiingize wanawake wenzie.
Disclaimer: Read this with an open mind maana mtahisi ni maoni ya single mom which is quite the opposite [emoji3577]
Ni Mwanaume asiyejielewa tu ndio utapata hio Open Mind yake, real nigga wanaofosi ku-make it kwenye hili life gumu huwezi mletea emotions zako hizi tunasota na life so tuna deserve mwanamke fresh mwenye utu na utulivu sio mwanamke aliyepigwa na kila mwanaume uje kula jasho letu.
Wewe na single mother wenzio pelekeni ugari mulipomwaga mboga.
Huu ni muda wa kila mwanaume rijali kuwa na standard ya maisha sio kupetipeti hawa watu.