ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwani ostaadhat wewe ujanani hukuwahi kuzini?Ndiyo uchafu wa uasherati huo. Kalikoroga alinywe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ostaadhat wewe ujanani hukuwahi kuzini?Ndiyo uchafu wa uasherati huo. Kalikoroga alinywe.
Nimekusaidia kucheka 😁Comment section ni ya moto aisee! Sijui nicheke au nisikitike. 😂😭
Ni kweli. Na zinaanzishwa nyingi kweli kweli siku hizi. Anyways, ndoa ni makubaliano na kila mmoja ana vigezo vyake anavyoweka. Kigezo kimoja kinaweza kuwa ni kipengele cha kutokuwa na mtoto. Hiki anaweza kuweka mume au mke mtarajiwa. Haijalishi upande na kwa sababu ndoa ni kitendo cha makubaliano ya hiari, ni lazima tuheshimu pande zote. BTW mtu anapoficha status yake ya uzao mara mnapoonza relationship ana lengo gani? Kuwa na mtoto ni jambo kubwa sana na ndilo linatakiwa litajwe kabla hamjaji-commit kwenye uhusiano!Nyuzi za masela hizi 😅😅
Sio kweli wengine walidanganya tu na watu waliowapenda mwisho wakawaacha wengine waliolewa wakazaa ndoa zikavunjikaIla mkuu kukubali kwenu sometime ni kufuata urahisi wa maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa 😂😂mpira uanze moja mojaa au bila bilaUpo sahihi kabisa. Hili tatizo si la upnde mmoja tu. Hivi vijogoo vinavyozalisha ovyo ovyo hivi tabu sana. Unamkuta binti ana 20 yrs ila tayari ni single mother. Aisee inaumiza sana.
Na wanawake anzeni kukataa kuolewa na single fathers.
Mm ni Me
Yote kwa yote hoja za jamaa ni za kweli kabisa kwa wanawake, swala la kuamua kubeba hivyo hivyo msimuamulie, anachoogopa hua kinawafuata watu wengi sana, mwanamke hukutana na mzazi mwenzie na kuzini huko mitaani kwa kigezo Cha mtoto, mi mwenyewe ni mwanaume najua wazi na nimejionea kwa macho haya haya na ufahamu huu huuUwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
AlhamduliLlah Allah kaniepushia dhambi hiyo. Sijawahi kuzini na awaepushie wale wote wanaofikiria kuzini na wanaozini.Kwani ostaadhat wewe ujanani hukuwahi kuzini?
Kwa hiyo hukuwahi kuwekwa kabla ya ndoa Faiza? Na baada ya ndoa hukuwahi kuwekwa nje? Mmmmh nina mashaka.AlhamduliLlah Allah kaniepushia dhambi hiyo.
Kwanza najiuliuliza na nnakuuliza, hivi una zini ili iweje? Wakati muumba wako kakuonya usisogelee zinaa. Siyo kuzini tu, hata kuisogelea zinaa hakutufai kabisa wanaadam.
Sasa kuficha mahusiano ya nyuma, angali unamtoto tayari ??Katika mahusiano mapya usitoe historia yako ya mahusiano ya nyuma kwa bwana mpya, au sema kwa ufupi sio unamwambia kuwa mpaka hapo yeye ni mwanaume wa 7 kwako ndani ya mwaka mmoja!
AaaaUsingle mother ni ugonjwa mbaya sana kila mwanaume mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother. Kuna binam yang walimuotea wakamzalisha asee na ni pisi kweli ila mpka leo hajapata wa kumuoa na umri unakimbia. Sometimes mpaka anamchukia mwanae anasema ndio kamletea nuksi maishani mwake
Eee we kaka.USIJIROGE KUOA SINGLE MOTHER, Unless umeoneshwa kaburi la baba wa mtoto na kuhakikisha kwa DNA kuwa mifupa/Mabaki ya mwili ni ya kwake.
Yani ilitokea tu dahh!!Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Kivipo sijakuelewa.Msipowasiliana mtoto atajenga chuki kali dhidi ya familia na huenda akawaharibu watoto wa baba wa kambo
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Wapo wengi tuuNa wew utalea mtoto asie wako ndani ya ndoa Kuna fala atamjaza mimba mkeo na utalea vilevile Nyie mmeumbiwa hivo pia
Mbona Leo mechi inaanza na umeshampachika utopolo 2_1Mechi inaanza 0-0
Sasa mechi ianze 1 bila hapana hapana hapana
Ilitokea TU? How? Yaani asubuhi tu ni mimba hii hapa Ina miezi Tisa ghafla ?Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Yani tufanye juu chini asimuache huyu kaka?Vitu vizuri vinapambaniwa, mpambanieni huyo mwanaume mpaka mumpate.