Bechede
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 872
- 2,422
Ndio tumefika. Ni kitu cha muhimu sana kulishihudia kaburi. Tena ngoja nikaku-tag na komentiNgoja waje hapa utasikia mpk waone kaburi la baba mtoto ndo ataolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tumefika. Ni kitu cha muhimu sana kulishihudia kaburi. Tena ngoja nikaku-tag na komentiNgoja waje hapa utasikia mpk waone kaburi la baba mtoto ndo ataolewa
InnaIli kuoa single mother lazima kuzingatia yafuatayo;
1. Lazima ushuhudie kaburi la baba wa mtoto.
2. Cheti cha kifo ( majina ya cheti yafanane na ya kaburi pamoja na kufuatilia uhalali wake ofisi za RITA)
3. Upate video ya mazishi kujiridhisha
NB:
Hakuna kitu kinaitwa mimba ya bahati mbaya.
SASA WEWE JICHANGANYE, HAKUNA RANGI UTAACHA IONA.
Sure, ndipo tunapokoseakuoa single mother sio tatizo. Tatizo lipo kwenye kukumbushia viporo na mzazi mwenzie
Ha ha haaa...hawatambui nafasi yao katika jamii hao, wanajikuta kutaka kutambulika kama tunavyotambulika sisi.Haina madhara hio 😀!!!
Mimi kuwa na mtoto ni alama kuwa rijali. Wewe kuwa na mtoto bila ndoa ni alama kuwa huna akili. Boyaaa
Kwa maana ya kwamba aliuza mechiMpaka unamzalia jamaa maana yake mmetiana kavu,
Correct [emoji3514]Siyo wote, kwa wenzetu waislamu hawana shida kwenye kuoa mwanamke mwenye mtoto, Kimbembe kwa wasiyo waislamu, kwasababu wao waislamu kuoa na kuachana ni jambo la kawaida utakuta mwanamke kaolewa na kuachika zaidi ya mara tatu na kazaa watoto kwa wanaume tofauti, Sasa kwa sisi Vijana wa kikristo au kwa wapagani hatuja zoea na siyo tamaduni zetu kuona Mama zetu wame zaa watoto kabla ya kuolewa, Tamaduni za mama wakiafrika ni kuzaa na mume mmoja tu, kama kazaa watoto kumi basi baba yao ni mmoja tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nipe namba yake pm hapa wachawi wengi
Ni kweli 100%Sijui nipo off topic , hivi kwanini watoto tuseme wanne waliozaliwa na baba tofauti ila mama ni mmoja ,Huwa hakuna ile family bond , yaani ule upendo baina ya ndugu na ndugu?[emoji848]
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Dunia nzima ikishindwa kuwaelewa, still tutakuwepo tunaoweza kuwaelewa. Amani itawale sis. 😍Tupo tunawaangalia tu....hatuna shida ....Kila mtu na shida zake😘
Pamoja wangu ♥️♥️♥️😘Dunia nzima ikishindwa kuwaelewa, still tutakuwepo tunaoweza kuwaelewa. Amani itawale sis. 😍
Hichi kitu kinanitesa sana personally,, I wish ..... Anyway acha niishie hapaNi kweli 100%