Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Umepangilia hoja zako vizuri, nakubaliana na wewe..... tatizo ni hizi stereotypes za kiafrika.... single moms wanakua antagonized wakati wanaume waliowapa mimba hawapati lawama wanazostahili.

You are right kwa wenzetu it’s not even a deal breaker….mwenye mtoto/watoto anaolewa na maisha yanaendelea na Kama kuna mawasiliano na baba mtoto yanakua ya heshima life goes on.
Swali langu bado linabaki kwa wanaume ni utajuaje asie na mtoto ametoa mimba ngapi?? Kipi bora Mwenye mtoto au huyu mama mwenye watoto alio waflash ???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wana haki ya kuchagua mtu wanayetaka kuwa naye.

Hii ni haki ya msingi.

Kama mtu hataki single mother, hataki single mother. Ni haki yake.

Mkianza kumsema ana stereotype mnamnyanyapaa katika kitu ambacho ni haki yake ya msingi.

Halafu kwa nini mnalazimisha kupendwa msipopendwa?

Mtu hataki single mother, kwa nini mnamlazimisha awapende?

Hamuoni kwamba mnakuwa desperate hapo kutaka mapenzi kutoka kwa watu wasiowapenda?
 
Wewe uzungumzia kuoa!!!!

Mi kutembea na mwanamke mwenye mtoto ambaye sio mke wangu hata sijawahi kuwaza kama naweza kufanya kitu kama hicho

Nikijua una mtoto hisia Inakata hapo hapo..

Kivip sijawahi kuwaza hata km naweza kulala na mwanamke mwenye mtoto tena katika ulimwengu huu ambao wanawake wasio na watoto wapo wengi
Lakini sijui ya mbeleni huko labda tena labda inaweza kutokea bahati mbaya
Na hiyo ni haki yako, huhitaji hata kui justify kwa kutoa sababu za kimantiki, huhitaji sababu, ni upendeleo wako tu.

Sasa mtu akija na kukusema kwa hilo, atakuwa anakunyanyapaa tu katika kitu ambacho unakifanya kwa kutumia haki yako kabisa.

Hawa wanawake wanaolazimisha kupendwa na wanaume ambao hawawataki mimi nawaona wako desperate kupendwa.

Kupendwa hakulazimishwi.

Mwanamke mwenye uzuri wake anayejitambua atapendwa tu mwanamme anayependa mwanamke wa kumfaa.

Wanawake wasiwanyanyapae wanaume kwa sababu wanaume hawajawapenda. That is being desperate.

Wanashindwaje kuelewa suala basic kabisa kama vile mapenzi hayalazimishwi?
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro ni shida tupu humo ndani
 
Watu wana haki ya kuchagua mtu wanayetaka kuwa naye.

Hii ni haki ya msingi.

Kama mtu hataki single mother, hataki single mother. Ni haki yake.

Mkianza kumsema ana stereotype mnamnyanyapaa katika kitu ambacho ni haki yake ya msingi.

Halafu kwa nini mnalazimisha kupendwa msipopendwa?

Mtu hataki single mother, kwa nini mnamlazimisha awapende?

Hamuoni kwamba mnakuwa desperate hapo kutaka mapenzi kutoka kwa watu wasiowapenda?

No one is desperate my dear , and yes kila mtu anahaki ya kuoa na kupenda anaeona anafaa! Issue ni justification ya kusema single mother ni mfano mbaya na ataonyeshaje njia kwa watoto wakati yeye alishazaa. Ndio nikasema if it’s just a personal preference well and good but if it’s because the girl is a single parent then it’s foolishness (still his choice) because unaweza kataa mtu mwenye mtoto ukaenda kwa alietoa mimba kibao….yupi bora????
I know single mamas who are picky and they ain’t desperate at all!
Kwa kusema hivyo sitete huyo binti kuachwa kwasababu if I was her mwanaume akinitaka mwanangu is part of my introduction, mtoto sio laana so siwezi ficha, the earlier she said that she would have made it easy for everyone and avoid the situation she is in right now.
 
Na hiyo ni haki yako, huhitaji hata kui justify kwa kutoa sababu za kimantiki, huhitaji sababu, ni upendeleo wako tu.

Sasa mtu akija na kukusema kwa hilo, atakuwa anakunyanyapaa tu katika kitu ambacho unakifanya kwa kutumia haki yako kabisa.

Hawa wanawake wanaolazimisha kupendwa na wanaume ambao hawawataki mimi nawaona wako desperate kupendwa.

Kupendwa hakulazimishwi.

Mwanamke mwenye uzuri wake anayejitambua atapendwa tu mwanamme anayependa mwanamke wa kumfaa.

Wanawake wasiwanyanyapae wanaume kwa sababu wanaume hawajawapenda. That is being desperate.

Wanashindwaje kuelewa suala basic kabisa kama vile mapenzi hayalazimishwi?

…pia no one is forcing the guy to love/get married to the girl it’s his choice. In fact hata Mimi namlaumu huyo binti kwa kutomjulisha kijana mapema, she has no one to blame but herself!
Yuko hapa tunajadili not only in their context but kuna ka stigma against single moms vijana wanajazana ujinga, so lazima tu reason kwa upana sio tu kwa a single case!
 
No one is desperate my dear , and yes kila mtu anahaki ya kuoa na kupenda anaeona anafaa! Issue ni justification ya kusema single mother ni mfano mbaya na ataonyeshaje njia kwa watoto wakati yeye alishazaa. Ndio nikasema if it’s just a personal preference well and good but if it’s because the girl is a single parent then it’s foolishness (still his choice) because unaweza kataa mtu mwenye mtoto ukaenda kwa alietoa mimba kibao….yupi bora????
I know single mamas who are picky and they ain’t desperate at all!
Kwa kusema hivyo sitete huyo binti kuachwa kwasababu if I was her mwanaume akinitaka mwanangu is part of my introduction, mtoto sio laana so siwezi ficha, the earlier she said that she would have made it easy for everyone and avoid the situation she is in right now.

Nakwambia hivi, mwanamme anayetoa justification kwa nini hataki kuwa na mwanamke huyu kashakosea.

Kwa sababu uamuzi wa mwanamme anataka kuwa na mwanamke gani hauhitaji justification, ni haki ya mtu tu.

Yani mwanamme ana haki ya kusema yeye hapendi kuwa na single mothers tu. Ni kitu ambacho hapendi tu, ni haki yake kutopenda single mothers. Hahitaji justification.

Na si kila mtu yuko against abortion, wewe umeandika kama it's a given kwamba kila mtu yuko against abotion.

Yani umechukua viewpoint yako ukaifanya kama ni automatic, undisputed, universal truth.

That is a very unspophisticated and unbalanced viewpoint.

Kitu muhimu ni kwamba, ukishakubali kwamba mwanamme ana uhuru wa kuamua awe na nani, huna haki ya kulalamika akiitumia hiyo haki.

Na kama mwanamme ana some crazy puritanism hataki mwanamke aliyezaa, hiyo ni haki yake pia. Kwa nini unamnyanyapaa kwenye kuitumia haki yake?

Wewe nani kakupa haki ya kunyanyapaa watu wanaoamua kutumia haki zao?

Unapotaka kulazimisha watu wasiokupenda wakupende utasemaje hiyo si desperation?

Kwa nini usiwe na mtu anayekupenda na kuacha wasiokupenda na kuepuka malalamiko ambayo hayana msingi?

Umekosa mtu anayekupenda ulivyo mpaka ulazimishe watu wasiokupenda wakupende?
 
…pia no one is forcing the guy to love/get married to the girl it’s his choice. In fact hata Mimi namlaumu huyo binti kwa kutomjulisha kijana mapema, she has no one to blame but herself!
Yuko hapa tunajadili not only in their context but kuna ka stigma against single moms vijana wanajazana ujinga, so lazima tu reason kwa upana sio tu kwa a single case!
Na mimi nakwambia hivi, stigma katika mapenzi ni haki ya mtu. Ndiyo maana ya mapenzi, kuamua nachagua kupenda hiki, sitaki kupenda kile. Bila stigma kungekuwa hakuna choice, na bila choice hakuna mapenzi.

Mapenzi yangekuwa siasa za "haki sawa kwa wote". Kila mtu anajichovyea, hakuna selectivity wala exclusivity. Hakuna mapenzi hapo.

Kuna watu wana stigma dhidi ya Wanigeria, huwaambii kitu.

Kuna watu wana stigma dhidi ya watu weusi.
Mimi kama mtu mweusi sitaki kuwalazimisha wanipende, nitaenda ninapopendwa. Sitawanyanyapaa kwa kutumia haki yao hiyo.

Kuna watu wana stigma dhidi ya wazungu, huwaambii kitu.

Kuna watu wana stigma dhidi ya wanawake wanene. Ni haki yao.

Ni haki yao through and through. Mapenzi ni kitu very personal and private.

Utafanya nini sasa? Utalazimisha mtu ambaye hapendi Wa Nigeria awapende?

Hiyo stigma ni haki yao, ukiwaingilia kwenye haki ya kuwa na stigma hiyo, umewanyanyapaa, wewe ndiye unakuwa na makosa. Unawalazimisha wapende kitu wasichopenda.

Hatupangiani nani wa kumpenda.

Hata wewe ukilazimishwa upende mtu usiyempenda hutafurahi.

Unajua mkiinyanyapaa stigma kitakachotokea ni nini?

Watu watajifanya wanawapenda hao single mothers ili wawe "political correct" tu, watawaoa, halafu ndoa zitajaa migogoro kila siku kutokana na stress za "nimeoa single mother kwa pressure za kijamii nisionekane nina stigma".

Hapo ndipo unakuta ndoa zisizo na amani, wanawake wanapigwa, mwanamme anaona kawa trapped kwenye ndoa.

Bora mtu aseme mimi sitaki kuoa single mother, siwapendi, na wala msimnyanyapae, aepuke kuingia kwenye ndoa isiyo na mapenzi ya kweli.

Ndiyo maana ku normalize stigma katika mapenzi ni kitu kizuri sana.
 
HUYU MLETA MADA ALIZANJ HII POINT NI YA MSINGI YENYE KUWEK VTU SAWA

"Amezaa bila kupanga, Baba mtoto ameona na mawasiliano Yao ni ya kuhudumia mtoto"

Sisi wanaume hapo hamn point mara 10 awe ahudumii tunAwez ona huruma kwa mbaliiiiiiii ILA anahudumia lazm awe anakula mbunyee asee hakun mwanaume ATATOA huduma kwa mtoto wake vzr bila kula zgo
 
Hawajui kanuni muhimu ya mapenzi.

Penda unapopendwa, usipopendwa utatendwa.
 
Awe mvumilivu TU pengine halikuwa chaguo sahihi pia, Imani yangu inanituma azidi tu katika maombi Mungu atampatia MTU sahihi maana yeye hawai Wala hakawii Bali hujibu kwa wakati ulio sahihi, asikate tamaa
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Jamaa maneno aliyomwambia mdogo wako ni mazito na yanaukweli kiroho zaidi kuliko kibusara ya kibinadamu. Huyo jamaa amesema ukweli na ndipo jibu lilipo la swali lako la mwisho. Tena ashukuru huyo amekuwa muwazi kabisa na kumpa majibu ya kiroho. Sasa kinachotakiwa mdogo wako aingie kwenye maombi maalumu kuhusu suala Hilo.
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Hii wanawake kuzaa imekua fashion sasa mm nakazia usioe mwanamke mwenye mtoto
 
Kuanza mechi 1-0 inauma Sana kwa mwanaume.
Ikichukuliwa hiyo game itarudiwa Tena na Tena.
 
Back
Top Bottom