Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bahati mbaya dada faiza.Ndiyo uchafu wa uasherati huo. Kalikoroga alinywe.
Masingle faza hawana tatizo kabisaaaHuwa nawafikiria single father's kwakweli na mm natak nione makaburi ya wanawake mlozaa nao [emoji3]
Kwa wale wasio amini utawaeleza reason gani ya kutozini???AlhamduliLlah Allah kaniepushia dhambi hiyo. Sijawahi kuzini na awaepushie wale wote wanaofikiria kuzini na wanaozini.
Kwanza nnajiuliza na nnakuuliza, hivi una zini ili iweje? Wakati muumba wako kakuonya usiisogelee zinaa. Siyo kuzini tu, hata kuisogelea zinaa hakutufai kabisa wanaadam.
Uzuri wa Uislaam umetupa na nini cha kufanya kuzuia machafu, tusiache salat, salat zinatuepusha na uchafu wote .
Kuwekwa ndio kufanya nini? [emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hukuwahi kuwekwa kabla ya ndoa Faiza? Na baada ya ndoa hukuwahi kuwekwa nje? Mmmmh nina mashaka.
Oyaaa dahhhhhgHaina madhara hio [emoji3]!!!
Mimi kuwa na mtoto ni alama kuwa rijali. Wewe kuwa na mtoto bila ndoa ni alama kuwa huna akili. Boyaaa
Bwana wewe mwanamke ndio anaamua kupata mtoto au lah. Wengi hawa mademu wanaakili mbobu sana wanakupiga loba umwagie ndani makusudically kabisa. Mwanaume ambaye ametka mtoto will never, i repeat will never ever abandon damu yake.Unaweza kukuta kuna wanaoimba marufuku kuoa single mother huku kumbe nyuma kuna binti kamzalisha na mtoto kamtelekeza. Sisi watu weusi ni wanafiqun wa kiwango cha mwisho.
Tuwafundishe waache zinaaa kabisaaa kabla ya Ndoa.Wafundisheni wasizae kabla ya ndoa.
Sasa tumwagie wapi? 😀😀, Unafikiri kumwaga nje ni kazi rahisi? Wanaoweza hiyo kitu ni wachache Sana, mwanamke unaweza kuzuia mimba kwa njia nyingine, kondomu Wala sio poa kabisa Basi tuuNa nyie msikubali kumwagia ndani au kutokutumia ndom,Ili kuepuka haya,vp wale wanaobakwa?( )
Iliniumiza sana kwa kweli, Ila sikuwa tayari kuwa nae ndiyo maana mara zote namwomba muumba anisamehe
kama hayuko vizuri ki finacially muwezeshe mkuu. kazi itamweka busy na atakuwa na ukrasa mwingine na hapo utakuwa huru mkuuIliniumiza sana kwa kweli, Ila sikuwa tayari kuwa nae ndiyo maana mara zote namwomba muumba anisamehe
bro ma single mother wengi ndivyo walivyo. ndiyo maana mtu akioa single mother jamii inamtafsiri kama mtu mwenye Upungufu flani .Single mom, umekuja na povu, tatizo watu wakisha zaa hawa achani, drama za bby dady, niliwahi kuwa na singo mom, mkipiga story lazima amtaje mzazi mwenzake. Katikati ya mzagamuo anakulinganisha na bby dady wake, ana sema baba F hawezagi kumwaga nje tukifananya lazima atumie mpira. Halafu anataka kuolewa, ukimuiliza
Kwa nini baba F haja muoa analeta Hadith za manenge na mandawa. Mara aseme baba F hawezi kuunganisha hapo mechi inaendelea. Akipiga story na watu wengine anamtolea mfano baba wa mtoto wake. Nilikimbia ila alikuja kukamata boya wake.
Wanaobakwa ni kesi chache Sana wengi wanataka wenyewe.Na nyie msikubali kumwagia ndani au kutokutumia ndom,Ili kuepuka haya,vp wale wanaobakwa?( )
Bi Faiza atakuwa amenielewa mkuu😀😀
Ni nini kilitokeaKilichoendelea ndiyo nasema mungu anisamehe
Tena hio used yenyewe engine yake ishafanyiwa overhaul.Kwanini ulipie used car wakati mpya zipo.....singo maza hapana what so ever be the case.
Kumbe utamu mnaupenda eeh kama ni mtu wako wa Kila siku utajua siku zake,na utamlinda na kujilinda pia,kujilinda ni jukumu la nyinyi white wawili kama hutarajii changamoto mbeleniSasa tumwagie wapi? [emoji3][emoji3], Unafikiri kumwaga nje ni kazi rahisi? Wanaoweza hiyo kitu ni wachache Sana, mwanamke unaweza kuzuia mimba kwa njia nyingine, kondomu Wala sio poa kabisa Basi tuu