Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

AlhamduliLlah Allah kaniepushia dhambi hiyo. Sijawahi kuzini na awaepushie wale wote wanaofikiria kuzini na wanaozini.


Kwanza nnajiuliza na nnakuuliza, hivi una zini ili iweje? Wakati muumba wako kakuonya usiisogelee zinaa. Siyo kuzini tu, hata kuisogelea zinaa hakutufai kabisa wanaadam.

Uzuri wa Uislaam umetupa na nini cha kufanya kuzuia machafu, tusiache salat, salat zinatuepusha na uchafu wote .
Kwa wale wasio amini utawaeleza reason gani ya kutozini???

Maana kuna tunaishi kwenye jamii ya waamini na vile vile kuna waamini wasiotii Sheria za dini na vile vile wasioamini kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kukuta kuna wanaoimba marufuku kuoa single mother huku kumbe nyuma kuna binti kamzalisha na mtoto kamtelekeza. Sisi watu weusi ni wanafiqun wa kiwango cha mwisho.
Bwana wewe mwanamke ndio anaamua kupata mtoto au lah. Wengi hawa mademu wanaakili mbobu sana wanakupiga loba umwagie ndani makusudically kabisa. Mwanaume ambaye ametka mtoto will never, i repeat will never ever abandon damu yake.
 
Na nyie msikubali kumwagia ndani au kutokutumia ndom,Ili kuepuka haya,vp wale wanaobakwa?( )
Sasa tumwagie wapi? 😀😀, Unafikiri kumwaga nje ni kazi rahisi? Wanaoweza hiyo kitu ni wachache Sana, mwanamke unaweza kuzuia mimba kwa njia nyingine, kondomu Wala sio poa kabisa Basi tuu
 
Single mom, umekuja na povu, tatizo watu wakisha zaa hawa achani, drama za bby dady, niliwahi kuwa na singo mom, mkipiga story lazima amtaje mzazi mwenzake. Katikati ya mzagamuo anakulinganisha na bby dady wake, ana sema baba F hawezagi kumwaga nje tukifananya lazima atumie mpira. Halafu anataka kuolewa, ukimuiliza
Kwa nini baba F haja muoa analeta Hadith za manenge na mandawa. Mara aseme baba F hawezi kuunganisha hapo mechi inaendelea. Akipiga story na watu wengine anamtolea mfano baba wa mtoto wake. Nilikimbia ila alikuja kukamata boya wake.
bro ma single mother wengi ndivyo walivyo. ndiyo maana mtu akioa single mother jamii inamtafsiri kama mtu mwenye Upungufu flani .

nilishakuaga na single mother mmoja aliniapia ameshaachana na na baby dady wake. kumbe sio mahusiano yameenda kama 1 year. namfumania kumbe kila siku wanajuliana hali. nilichoka. tumeachana wakarudiana na baby dady wake ambaye nae ni mume wa mtu. kurudiana kwenyewe ni kule kumlipia kodi na vitu vya kula[emoji1787][emoji1787] yaani nilimshukuru Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie msikubali kumwagia ndani au kutokutumia ndom,Ili kuepuka haya,vp wale wanaobakwa?( )
Wanaobakwa ni kesi chache Sana wengi wanataka wenyewe.
Mwanamke inatakiwa ujue ya kwamba ni hatari kwenda peke yako lodge au chumbani kwa mwanamme mwenye hisia na wewe au mpenzi wako ukatarajia kutoka bila kuguswa. Kama haupo tayari usiende kamwe.

Usikubali mtego wa kwamba eti nitamwaga nje au naweka kichwa tu, huku ni kutafutiana lawama
 
Kuoa single mother ni suala la kujilipua kwakweli Kati ya wanaume 10 watatu ndo wenye huo ujasiri wa kujilipua….

Hii karne ya sasa hv wanaume wamekuwa waoga sanaa….baadhi ya wanaume wapo Tayar kulelewa na mwanaume mwenzake au sugar mummy kuliko kuoa single mother
 
Sasa tumwagie wapi? [emoji3][emoji3], Unafikiri kumwaga nje ni kazi rahisi? Wanaoweza hiyo kitu ni wachache Sana, mwanamke unaweza kuzuia mimba kwa njia nyingine, kondomu Wala sio poa kabisa Basi tuu
Kumbe utamu mnaupenda eeh kama ni mtu wako wa Kila siku utajua siku zake,na utamlinda na kujilinda pia,kujilinda ni jukumu la nyinyi white wawili kama hutarajii changamoto mbeleni
 
Back
Top Bottom