Kala jeremiah amerudi kivinginE...

Kala jeremiah amerudi kivinginE...

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
290
Kala Jeremiah ametoka kivingine...
Ona mpaka nasahau menginE,
Baba Ajira zipo chache hawapati wenginE,
Dada zetu wanajiuza wenginE,
Pengine labda ndo Sodoma na Gomora nyinginE,
Wanaume sikuhizi ni MASHOGA wenginE,
Wanadai haki zao kama haki zinginE,
Wanaandamana hadharani mataifa menginE,
TUACHANE NA HAYO MASWALA NINA SWALA TWENDE
SWALA JINGINE,
Hivi ni kweli umewatuma MANABII wenginE?,
Mana kila kukicha kuna Kanisa jinginE,
Huyu Nabii na huyu ni Nabii mwinginE,
Huyu anaponda na huyu Anampinga mwinginE,
Wanahubiri kuhusu PESA sio kitu kinginE,
Toa ndugu toa toa ulichonacho kinginE,
MUNGU nionyeshe njia nionyeshe Ishara nyinginE,
Yapo mambo mengi tu Siwezi taja MenginE..

Usije ku copy na kwenda ku Paste kwinginE...
 
Mkuu naweza upata wapi maana nimeutafuta nineukosaa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
huyu naye ni mwinginE ..nahisi hata demu wangu ana mshikaji mwinginE,duh! dogo anajua.. big up KJ.
 
Hata mimi simjui maybe ni kiongozi mpya wa UAMSHO ngoja waje watueleze

We utakua ni fan wa mziki mwinginE, Uamsho hicho nacho ni kitu kinginE, Wakati mwinginE uulize usikisie vinginE, Wenye dini yao wasije kuanzishia menginE, Ukawajibu hovyo invisible akakupa BAN nyinginE, Usiwe kama wanaoamini hadi leo nyerere yupo penginE, hujamjua tu bado au nikuelekeze kwa lugha nyingiE, PenginE makofi ndo iwe lugha nyinginE...
 
Umetisha kama wanaochoma makanisa penginE! Ha ha ha mie simo!
 
We utakua ni fan wa mziki mwinginE, Uamsho hicho nacho ni kitu kinginE, Wakati mwinginE uulize usikisie vinginE, Wenye dini yao wasije kuanzishia menginE, Ukawajibu hovyo invisible akakupa BAN nyinginE, Usiwe kama wanaoamini hadi leo nyerere yupo penginE, hujamjua tu bado au nikuelekeze kwa lugha nyingiE, PenginE makofi ndo iwe lugha nyinginE...

Na hawa ndio vijana ambao ni taifa la kesho tunalowategemea poleni sana raisi wenu kawadanganya alisema atatoa ajira milioni moja matokeo yake ndio mnahangaika kama hivi
 
ukiacha hizo million moja me tayari nna ajira nyinginE, ipo ya kuajiriwa na ya kujiajiri nyinginE, Pengine nikawa ndo bosi wako we una guess vinginE, usinitegemee mimi bana wategemee wenginE, unavyomuita rais wenu we una rais mwinginE?, penginE uskute we ni raia wa nchi nyinginE, KwinginE wana uzalendo na kwao we mbona unawaza vinginE, unajiita TCU we ni jack bauer mwinginE?, ama ni mamluki umepandikizwa kuharibu Operation nyinginE...
 
Wakati Msaafu kakojolea mwinginE...hahaaa

Mimi, wewe, na yule mwingine,
tukatoe remix, iwe ingine,
ili tutoke, kama yule mwingine,
labda pengine,
tutapata hela zingine,
tutese na mademu wengine,
ila wasitupe ule ugonjwa mwengine,
tukateseka pengine,
 
Dah!Ndio wewe KJ nini au ni mtu tu mwinginE?

Back
Top Bottom