mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 290
Kala Jeremiah ametoka kivingine...
Ona mpaka nasahau menginE,
Baba Ajira zipo chache hawapati wenginE,
Dada zetu wanajiuza wenginE,
Pengine labda ndo Sodoma na Gomora nyinginE,
Wanaume sikuhizi ni MASHOGA wenginE,
Wanadai haki zao kama haki zinginE,
Wanaandamana hadharani mataifa menginE,
TUACHANE NA HAYO MASWALA NINA SWALA TWENDE
SWALA JINGINE,
Hivi ni kweli umewatuma MANABII wenginE?,
Mana kila kukicha kuna Kanisa jinginE,
Huyu Nabii na huyu ni Nabii mwinginE,
Huyu anaponda na huyu Anampinga mwinginE,
Wanahubiri kuhusu PESA sio kitu kinginE,
Toa ndugu toa toa ulichonacho kinginE,
MUNGU nionyeshe njia nionyeshe Ishara nyinginE,
Yapo mambo mengi tu Siwezi taja MenginE..
Usije ku copy na kwenda ku Paste kwinginE...