Kalag baho na jimama langu la kiitali lililonizidi kila kitu leo ndani ya Mtende- makunduchi

Kalag baho na jimama langu la kiitali lililonizidi kila kitu leo ndani ya Mtende- makunduchi

Seran na utu uzima wako wote midevu kibao. Kuna mtu kabisa anaweza kukwambia habar za ushoga? Anaanzia wapi? Mtoto wa kiume unajionea huruma mpaka unakuwa na mvuto wengine wanakutamani?.

Kalaga baho kono gumu, sura kama kuti kavu. Yani nchi yoyote naenda na tunakaa tunaongea mada za kiume wazee
 
Na haya madevu yangu hmm Kwakweli hakuna mtu wa kuniambia hizo habari! Nipe michongo mkuu! Achana na hawa waoga!
 
Ndio ninacho, sema nina kamwili kama mtoto pia ni mfupi sana kwahiyo kunigundua ni ngumu sana mkuu, naweza kusema nna miaka 24
Ok nitafte kuanzia jumanne nikupe maelekezo. Sema sura itakataa kabisa kutoa ushirikiano wa assumption hiyo
 
Asee dunia kubwa,

Narudia tena wazee dunia kubwa sana. Leo nimelitoa out jimama la kizungu nililolipata miezi kadhaa nyuma huku nikilipelekea moto kila siku mana halina period. Age went!

Tumekuja maeneo ya makunduchi kula bulgogi, lavasta na manalkeesh. Kuna upepo wa kutosha na watoto wengine wazuri tu. Yani inshort ni kama niko karibe nacheza raga na afrikan salsa.

Kuna mmasai anamvizia nae anataka kumuomba namba asee nitamtoa shingo yeyoo! Pumbavu kabisa.

Kalaga baho!

AMA KWL
 
Wakat unasoma sana uje upate nafuu ya maisha na familia yako. Wemzako wanadandia mimama wanaenda ulaya kuchezea hela.

Kuna jamaa yangu hapa aliwahi kupata mpaka milion 200 ya kitanzania akitokea Kanada. Bahat mbaya kichwa chake maji akarudi kwemye umaskini hapa unguja na shule hakuna kabisa
 
Baada ya miezi sita utasikia "marehemu tulimpenda sana, lakini yeye alipenda zaidi makalio makubwa ya mishangazi umeme ukamkwaa na mungu naye akaamua kumpenda zaidi amuepushe na tabu za dunia, bwana ametwaa na jina la bwana lihimidiwe, ameen.'' kula maisha mkuu.
 
Marehem alipata shortcut akakunja
 
Back
Top Bottom