OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu,
Picha hapo juu inajieleza,
Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima.
Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu
Hana rekodi yeyote ya kulazwa hivi karibuni au kutumia dawq yeyote ya hospitali, hajawahi kuugua kansa wala kisukari
Hana historia ya aleji yeyote
Hii ni case kutokabariadi jirani na gamboshi
Wataalam tunaomba maelezo ya kisayansi huu ni ugonjwa gani chanzo chake ni nini na mechanism yake (pathophysiology) ikoje?
NB: Lengo la huu uzi ni kujifunza hizi case zipo nyingi hapa nchini
Nawasilisha