Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Unalogwa njoo nikugangue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C:C Kiranga 😀😀😀Wasukuma acheni uchawi
Ni NyweleKwa mlioko Daslama mtuambie "nywere" ni kitu gani sisi ambao hatujawahi fika huko.
Hormones change inatokea ghafla ? Tena usiku tu mkuu, na inachagua maeneo ya kuondoa nywere na hazionekani zilipoendaOvernight mkuu??
?
Kanyolewa na wachawi.Habari wakuu,
View attachment 3211715
Picha hapo juu inajieleza,
Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima.
Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu
Hana rekodi yeyote ya kulazwa hivi karibuni au kutumia dawq yeyote ya hospitali, hajawahi kuugua kansa wala kisukari
Hana historia ya aleji yeyote
Hii ni case kutokabariadi jirani na gamboshi
Wataalam tunaomba maelezo ya kisayansi huu ni ugonjwa gani chanzo chake ni nini na mechanism yake (pathophysiology) ikoje?
NB: Lengo la huu uzi ni kujifunza hizi case zipo nyingi hapa nchini
Nawasilisha
Alopecia Aretha hio ni medical condition , atulize tu wenge zitaota zenyewe au zinaweza zisiote ni viraka vikaongezeka kichwani ukileta tu mapepe unatajirisha mganga na unagombana na bibi zakoMkuu
Hii case nataka tupate maelezo ya kitaalamu
Ahsante
HahahaMna uhakika wamemnyoa nywele tu? Sehemu zingine mmemkagua km ziko salama 😹😹
Ila mkuu anasema nywele hazioenekaniHormones change inatokea ghafla ? Tena usiku tu mkuu, na inachagua maeneo ya kuondoa nywere na hazionekani zilipoenda
Tunaomba ufafanuzi zaidi mkuu
Alopecia areataAlopecia Aretha hio ni medical condition , atulize tu wenge zitaota zenyewe au zinaweza zisiote ni viraka vikaongezeka kichwani ukileta tu mapepe unatajirisha mganga na unagombana na bibi zako
Vipi hii halopecia areata inaweza tokea kichwani na sehemu za siri ?Alopecia Aretha hio ni medical condition , atulize tu wenge zitaota zenyewe au zinaweza zisiote ni viraka vikaongezeka kichwani ukileta tu mapepe unatajirisha mganga na unagombana na bibi zako
Mke wake atakuwa amemnyoa alipokuwa usingizini kwa imani potofu za ushirikinaHabari wakuu,
View attachment 3211715
Picha hapo juu inajieleza,
Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima.
Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu
Hana rekodi yeyote ya kulazwa hivi karibuni au kutumia dawq yeyote ya hospitali, hajawahi kuugua kansa wala kisukari
Hana historia ya aleji yeyote
Hii ni case kutokabariadi jirani na gamboshi
Wataalam tunaomba maelezo ya kisayansi huu ni ugonjwa gani chanzo chake ni nini na mechanism yake (pathophysiology) ikoje?
NB: Lengo la huu uzi ni kujifunza hizi case zipo nyingi hapa nchini
Nawasilisha
Maelezo yake ndio hayo nilihakikisha nauliza mara mbili mbiliIla mkuu anasema nywele hazioenekani
Sasa mbona utukane hivo mkuu wewe umeishia level gani masterHakuna watu wajinga duniani kama hao MADAKTARI.
Wanafuatia hawa wasomi uchwara wenye DIPLOMA ZA D MBILI na digrii za supplementary......
Wanaishi kwenye ulimwengu wa NOTES ZA DIPLOMA in total ignorance of the otherwise REAL WORLD.
Wachawi wapo, na viumbe roho wapo.
Ukiwa na hizi elimu za DIPLOMA ZA D MBILI huwezi kung'amua uwepo wa wachawi na viumbe roho maana akili yako yote inazunguka kwenye NOTES za what is chemistry.
Experience.Ahahahah we jamaa fala, kwaio achangamke mapema kabla jua halijakuchwa