Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

Halafu tapeli moja litasema umeibiwa nyota yako
Yaani umasikini aisee
Sijui nyota gani anayo kichwa cha hivyo
Hii case mkuu niliona isinipite nikataka kushuhudia kwa macho yangu nione kama zitarudi

In short nipo site nafanya research hii ni sehemu ya kupima attitude na knowledge pia kupata mawazo mapya

Ukitaka kujifunza usitangulize mawazo ya kutapeliwa
 
Sio utapeli tu mkuu, nimeona sana haya tena miaka na miaka tunawaona walionyolewa usiku ila sijaona wanaodhurika ila sijui huwa kuna kitu gani nyuma ya haya
Mimi sio muumini wa haya mambo na siyaamini kabisa
Naomba ukipata mwisho wake usinisahau kuni Tag
 
Huo unyoaji ni wa salon baada ya umeme kukatika.
Kamati ya ufundi hawanyoi hivyo.

Nachukia sana shirki..
 
Hivi wewe ni Shetani kweli mkuu mbona mnalaini laini Shetani unachukia uchawi
 
Kunyolewa nywele kimazingara mara nyingi hakuna madhara kwa muhusika, labda hofu yake tu mwenyewe imvuruge, kwa sababu hua zinahitajika tu kwenye shughuli za kichawi, so unakuta anatumwa mchawi mmoja anaambiwa kalete nywele kidogo za mtu ambae sio mchawi, labda watengenezee matilio flan, ndo anakuja kukunyoa ukiwa hujitambui, ila hakuachii madhara mengine, na wengine hua wanachanjwa, hawa ndo kabisa hawatakiwi kua na hofu.
 
Serikali igawe helmet šŸŖ– wananchi wa huko wawe wanavaa wanapoenda kulala kuwa confuse wanga
 
Alopecia areata

Ahsante sana mkuu,

Ila hakuna maelezo yanayojitosheleza, hilo neno ni la kiingereza kiswahili chake ni kunyolewa nywele

Pathophysiology yake ipoje?
sIo kunyonyoka sio kunyolewa
 
Umejuaje kama kanyolewa? Usiamini kila unachosikia
 
Kunyolewa nywele kimazingara mara nyingi hakuna madhara kwa muhusika, labda hofu yake tu mwenyewe imvuruge, kwa sababu hua zinahitajika tu kwenye shughuli za kichawi, so unakuta anatumwa mchawi mmoja anaambiwa kalete nywele kidogo za mtu ambae sio mchawi, labda watengenezee matilio flan, ndo anakuja kukunyoa ukiwa hujitambui, ila hakuachii madhara mengine, na wengine hua wanachanjwa, hawa ndo kabisa hawatakiwi kua na hofu.
Mkuu umeelezea vizuri sana šŸ˜€šŸ˜€
Uko kitengo gani huko kikosini🤣🤣🤣
 
Sio utapeli tu mkuu, nimeona sana haya tena miaka na miaka tunawaona walionyolewa usiku ila sijaona wanaodhurika ila sijui huwa kuna kitu gani nyuma ya haya
Mimi sio muumini wa haya mambo na siyaamini kabisa
Naomba ukipata mwisho wake usinisahau kuni Tag
Huwa zinarudi mkuu kuna michakato ya jadi niliishuhudia inachukua kama wiki hivi ila ukiacha tu ukatulia hazioti l
Ngoja tusubiri shuhuda
 
Back
Top Bottom