Hili akilijibu nitolewe upu#mbu mmoja1. Je waliopigiwa makofi mengi hawana wake/waume?
In Jame-eka(Jamaica) we say fayaaah🔥🔥.Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.
Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:
1. Je waliopigiwa makofi mengi hawana wake/waume?
2. Je waliopigiwa makofi hawapendwi na wake zao na kwa hiyo makofi ya misibani ni fidia ya kukosa makofi nyumbani?
3. Je hili ni onyo onyo kwetu kuacha kupiga piga makofi ovyo ovyo wakati si kipimo cha upendo?
4. Kama kupiga makofi na kushangiliwa si kipimo cha upendo; je kukaa kimya na kununa pale viongozi wanapotambulishwa ni kipimo cha nini?
5. Je viongozi wasio na wake au waume wa kueleweka, na hawashangiliwi popote, wana hali gani?
Mjaluo mmoja aliwahi kupendekeza, “Kama kukosoa ni jinai basi hata kupongeza kuwe jinai”.
Hilo likifanyika mijadala hii ya kumaliza bando zetu haitakuwepo.
View attachment 3552096
atasema wanao lakini hawapendwi kama yeye, guys guys guys, napendwa mie hakuna zaidi yangu.Hili akilijibu nitolewe upu#mbu mmoja
Uthibitisho atautoa wapi?atasema wanao lakini hawapendwi kama yeye, guys guys guys, naendwa mie hakuna zaidi yangu.
atasema wanao lakini hawapendwi kama yeye, guys guys guys, naendwa mie hakuna zaidi yangu.
If they dont mean a shit, pm would shut the *** up na kuendelea kusonga mbele kama usemavo, kitendo cha kuongelea tu kinadhirisha jns alivoumizwa...ni kujitumumua tu kma ambavo namba moja anajitutumua baada ya kuchinja watu.I JUST LOVE MY COUNTRY SO IS MY PRESUDENT , VICE AND PM .. ALL THESE BUNCH OF NONSENSE DONT MEAN SHIT . BONGO INASONGA MBELE . CCM BABA LAO
Akitulia atafakari alichoongea maana nae simwelewiHuu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.