General Stalin
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 652
- 501
Akichezewa naniliu utafikiri atasema ukweli? Subiri tu hiyo misifa yake atajiingiza kingi atekwe watu wakaongezee njia yake ya naniliu.Akishatekwa akiulizwa wamekufanya nini utasikia "hakuna kitu"
Wa kwenye Noah nyeusi ni wale wapasua matofali,wa nape ni wale frontline tuTuacheni masihara lakini watekaji wakiwa kama wale wababe wa nape so kalapina atajipatia bastola kirahisi tu!
Kuna ukweli ndani, hutakiwi kujilegeza kabisa...nakubaliana naye. Mwaka 2007 niliwekwa kati na wazee [jambazi],ila sikulegea japo nilijeruhiwa ila na mimi nilimpa kubwa mmoja...nikawatoroka. Safi sana K.Pina
Roma katoka shamba...kalapina mtoto wa mjini
Matatu ni mengi mno,limoja tu ananyanyua mikono juu.Hivi anayaonaga kweli Yale ma vipisi yanayo mlinda mkemia,yaje matatu hata bila chuma mbona lazima uongee sauti ya chumbani
Acha kudanganya Watu humu Mkuu. Kwa taarifa yako tu Roma ni Mtoto wa mjini Kindakindaki sema tu hupendelea kwenda Mkoani Tanga kwa shughuli zake za Kifamilia ila muda mwingi huwepo Jijini Dar. Njoo tena na Uwongo wako mwingine!
Huyo anaongea tu kuna mwenzake naye alikuwa anajiita NGUMI JIWE vijana walicho mfanya siri yake.
Tell him. Yeye anadhani anatekwa akiwa anajua? Inatokea dafrau tu, yani huna hili wala lile na hujajiandaa kwa tukio lolote baya.Anafikiri ni kina chid benzi wale aache kujiona mtemi.
Ama blaka ama white vepeANATAFUTA KIKI KWA PIKIPIKI HUYU
Hamna wale jamaa ni watamu tu wakikutana na walaji kama Kalapina, hebu niambie kijana mzuri kama yule aliyemuonyeshea bastola Napeh yule anachapwa vizuri tu labda akurushie risasi mwilini.Anafikiri ni kina chid benzi wale aache kujiona mtemi.
Hajielewi yule labda anadhani wanatoa taarifa.Tell him. Yeye anadhani anatekwa akiwa anajua? Inatokea dafrau tu, yani huna hili wala lile na hujajiandaa kwa tukio lolote baya.