Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Hata Israel afanye operation gani pale Suala la uhasama kat yake na Palestine hautoisha Leo wala kesho na pale Palestine hana jeshi na wala hana siraha effective, pamoja na Israel kutaka kulipiza juu ya hilo lazima awe makini sana juu ya hatua zake
 

Mwanzo 12:1-3​

Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Ondoka katika nchi yako, acha jamaa yako na nyumba ya baba yako, uende katika nchi nitakayokuonesha. Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka. Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
 


Ungejua siasa za dunia ungeelewa kwa nini Tanzania hatuwezi kuwa kama israel.

Ushawai jiuliza kwa nini israel ndio nchi pekee duniani yenye raia ambao hawafanani na majirani zake wote kimuonekano ? China , korea, japan wanafanana kimuonekano, india, bagladesh, Pakistan, wanafanana kimuonekano, Tanzania, burundi, kenya, uganda, rwanda , Zambia, Malawi tunafanana kimuonekano.marekani, mexico na canada wanafanana kimuonekano, south america Argentina, uruguay, Venezuela, raia wanafanana kimuonekano.

Cha kushangaza Israel wazungu kwa muonekano ila majirani zao nchi karibu zote ni wa arab kwa muonekano.

Pili ushawai kujiuliza kwa nini team za mpira za israel zinashiriki mashindano ya uefa champions league na europa league huku nchi yao haipo ardhi ya ulaya.
 
Ushawai ona mataifa makubwa kama Russia, China, india, Japan, Korea, Brazil, Wakichokozwa na hicho kitaifa?

Kanawaonea hao waarabu koko kwakuwa hawana nguvu wala hawana umoja.

Hilo taifa lingekaa location ya nchi zenye nguvu kama kwa braza Kiduku au Russia, leo hii tusingejua kama kuna hako kanchi au kangeshakuwa mkoa wa kaskazini mwa india/china au Russia[emoji23].

Ilo Sio taifa ni mkoa wa jamuhuri ya muungano wa mataifa ya ulaya+USA+Canada+ baadhi ya mamluki wa kiarabu.

Hako kaisraeli ni kataifa ambako wazungu waliamua kukaunda eneo la waarabu kwa kutumainisha kalikuwepo hapo na kanapata Full support ya misaada ya kijeshi+kiuchumi kutoka ulaya kwa baba zake, ukikagusa umewagusa baba zake, so ni vigumu kwa nchi dhaifu za hao waarabu kupambana nako mybe wakitumia ambush au wakiwatumia wababe wa dunia, peke yao ni ngumu kushinda vita na taifa lenye support ya nchi zaidi 10 zenye nguvu kijeshi, kiuchumi, kisiasa, mpaka kipropaganda na kiimani[emoji23].

Huo ndio ukweli mchungu.
 
ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
Wamewaharibu lini?? Waisrael ndio hao hao wazungu, kumaanisha kuwa hao waisrael ni wazungu waliotoka ulaya na hizo hizo tamaduni zao za kishenzi.

Mungu aache kuwaonea huruma wagonjwa mahospital awaonee huruma hao washenzi hiv akili zenu huwa zinakaa wapi??
 
Vita vya Israel na farestine .ni vita vya kimkakati.
hivyo vita ndivyo vipimo vya mwisho wa dunia.
Sio mwsho wa dunia sema mwisho wa vita ya wazungu na waarabu.

Mwisho wa dunia ungetokea muda mrefu pale afrika yenye idadi kubwa ya watu ilipovamiwa na mamilioni ya waafrika kuuwawa na wengine kupelekwa utumwani, pia dunia ingeisha pale afrika wanapopigana kila siku kwa vita za kuchonganishwa na hao hao mabwana zenu...

Amkeni enyi wafungwa wa akili
 
Miafrika inaumia zaidi miarabu na miyahudi ikiuana kuliko wamatumbi wenzao wakiuana. Hiyo miarabu na miyahudi haiwapi hata pole kwenye madhira yenu ila nyie kila siku mnashoboka mtakuja kuolewa.

Kinachoendelea huko kinasikitisha at all levels ila acha wafu wazikane
 
Sababu ni moja tu Ndege wafanano huruka pamoa, lkn hiyo nchi hairuki pamoja na jiran zake kwakua hilo eneo sio asili yake kihistoria mpaka kibiologia hawana Vinasaba na hilo Eneo.

Ni mjinga na mpumbavu anaamini Palestina ilikuwa na wakaazi waitwao waisrael.
 
Na wengine mpaka wanatukanana na kuitana majina ya hovyo sababu ya huu utumwa wa fikra
 
Unamaanisha kwamba, vitabu vitakatifu huviamini mkuu
 
Kwahiyo ndio wameweza kuchukua hayo maeneo?
 
Israeli hajawahi pigana vita bila ya kumtegemea mmarekani. Mimi nilidhani hii vita ya sasa na Hamas na Hesbolah atamaliza kazi mwenyewe lakini wapi! tiyari kaomba msaada kutoka Marekani
 
naomba nikufafanulie, waisrael wa awali walikuwa na sura kama za watu wa iraq. wapo wengine walikimbilia mataifa kama ya Yemen na uarabuni, wana sura za chotara wa kiarabu na kizungu, wengine walienda India, wana sura za kihindi na kiyahudi mchanganyiko, hadi leo wapo. wengi wao walikimbilia ulaya, wamechanganyana na wazungu, usitegemee sura itabaki ile ile. mfano, ashkenaz jews, wale wa ulaya wana uzungu fulani, manake mama alikuwa myahudi na baba mzungu au baba mzungu mama myahudi, na hao wanaozaliwa ni wayahudi.

sawa na leo, mtu anazaliwa na mama mzungu, baba mwafrika au baba mwafrika na mama mzungu, yule mtoto chotara kama ana damu ya kitanzania, atakuwa mtanzania tu. hivyo hata hao unaosema sio wayahudi ni wazungu ni kwamba kwa miaka 400 walikuwa ukimbizini middle east, iran, iraq, europe, urusi na wengi marekani, australia, south africa nakadhalika. vizazi vyao leo wewe uje useme sio wayahudi ni wazungu? unafikiri una akili nzuri?
 

Ubarikiwe mkuu.
 

Ubarikiwe mkuu.
 
ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
Halikupigwa bomu???

Natamani wanayoyafanya Hamas wangekuwa wanayafanya na kunakofanyika party za hao wa§£nge kwangu ingekuwa la maana kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…