Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana,hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran. wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
Wewe unafaham idad ya vifo vya Waisrael?
 
ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
Israeli is most gayist county in the world...ushoga wao unaanzia kwenye military trainings kule wanapoenda majeshi ya jinsia moja...
Kula mwisraeli ni lazima kwenda jeshi akifikia umri fulani...
Hii ni fact wala sina chuki yoyote...
 
Mataifa kadhaa yameanza kutangaza kwamba watu wao pia wameuawa. kuna raia wa ufaransa, nepal, marekani na nchi kadhaa wameuawa. wengine walikuwa wanafunzi.
ndiyo kuna watanzania wawili wanafunzi pia hawajulikani walipo, walikuwa kwenye mafunzo ya vitendo (internship)
 
Kuna watu humu wanatumia nguvu kubwa kuwasapoti rafiki zao mayahudi

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Kabisa wako nyuma yao kumlinda, bila hivyo israel ni kama jeshi la bongo tu
Aisee

Mkuu, bongo ingekuwa na jeshi kama la hao jamaa, sjui ingekuwaje tu, halafu ukute amiri jeshi ndo JPM!!! Mamaaa, hao mabeberu wangelitukoma
 
Israeli is most gayist county in the world...ushoga wao unaanzia kwenye military trainings kule wanapoenda majeshi ya jinsia moja...
Kula mwisraeli ni lazima kwenda jeshi akifikia umri fulani...
Hii ni fact wala sina chuki yoyote...
wewe ni mpumbavu sana. kwahiyo kwasababu wanaenda jeshi kitaifa kama hapa watoto wanavyoenda JKT basi wewe unasema wanaendaga kufumuana? mbona huna reasoning kichwani? kuna watu wafiraji na wafirwaji kama waarabu duniani hapa? na popote walipoenda kote ufiraji umekithiri. angalia zanzibar, mombasa, tanga na popote penye mamwinyi watu wanashinda kulinda watoto wasizurure ovyo la sivyo wanaweza kudhurika. israel ni kweli kuna uovu kam aule tu ulioko ulaya kwasababu wao pia wana tabia za ulaya ambako wengi wamechukua desturi walipokuwa uhamishoni, ila haimaanishi wayahudi ni wabaya kuliko waarabu. mwarabu ni kiumbe mwingine hapa duniani hafananishwi. wewe mwenyewe unalijua hili.
 
Hamasi unawajua...ni jeshi la nchi au kikundi?
Unajua Gaza ina ukubwa gani?
Ili uingie Gaza Unajua unapita ukaguzi wa Israeli.
Waziri mkuu aneshakalia kuti kavu. Kuunda serikali ilimpa tabu, sasa pakitulia serikali yake inaanguka.
wameshaungana bro, hakuna mgawanyiko tena. mijadala hiyo itakuja baadaye baada ya kuwafyeka hamas ndio siasa zitaibuliwa upya, na kuna uwezekano Netanyau akajiuzuru au akafukuzwa kazi. kila mtu anajua kuwa amefanya failure kubwa ya intelijensia, hasa kwasababu aliwaamini sana hamas na waarabu wengine. alidhani anapofanya urafiki na waarabu wengine hamas watatulia na ataituliza middle east, kumbe amefanya mahesabu vibaya. kitakachotokea sasa ni kwamba hamas au wapalestina hawatakuja kuaminika tena, na pale wanasema wanatafuta muarobaini wa kudumu. ni upi? tusubiri tuone.

kwa upande mwengine, marekani ameshasogeza mameli yake ya kivita na madege, na wamekaa alart. kuna uwezekano mkubwa sana iran ikapigwa. tunajua iran ina uwezo mkubwa, ila over time itajikuta imebaki kama syria au iraq. na wamefanya hivi kwa timing ya ajabu kwasababu Urusi hana uwezo tena kusaidia nchi nyingine kwasababu ukraine ameshamkeep busy, iran atakuwa peke yake na hakuna nchi yeyote duniani itakayoisaidia, zaidi ya hezbolah ambao muda si mrefu lebanon itakuwa kama gaza.
 
Myahudi wakwel ambae wao wanamtambua niyule pure kwababa namama wanazo DNA test zao wanapimana nandio ilitumika kuchagua watu wakurud hapo kutoka ukimbizin...
Nb. Wazayuni niwabaguzi mno wanamin kwenye race yao
hujui unachoongea. kwa wayahudi, wapo wa kuzaliwa, na wapo wa converts ambao hawana hata DNA yao. na kwao, upande wa mama ndio wanauthamini zaidi, ni matrilineal
 
wewe ni mpumbavu sana. kwahiyo kwasababu wanaenda jeshi kitaifa kama hapa watoto wanavyoenda JKT basi wewe unasema wanaendaga kufumuana? mbona huna reasoning kichwani? kuna watu wafiraji na wafirwaji kama waarabu duniani hapa? na popote walipoenda kote ufiraji umekithiri. angalia zanzibar, mombasa, tanga na popote penye mamwinyi watu wanashinda kulinda watoto wasizurure ovyo la sivyo wanaweza kudhurika. israel ni kweli kuna uovu kam aule tu ulioko ulaya kwasababu wao pia wana tabia za ulaya ambako wengi wamechukua desturi walipokuwa uhamishoni, ila haimaanishi wayahudi ni wabaya kuliko waarabu. mwarabu ni kiumbe mwingine hapa duniani hafananishwi. wewe mwenyewe unalijua hili.
Mkuu hakuwepo haja ya kunitukana...ungetoa tu hoja tungeelewa...
Matusi ni sign ya kuwa primitive na uncivilized...pull up your socks mkuu...

Kuhusu hoja yangu soma hapa

View: https://youtube.com/shorts/DoYE3WvpnzM?si=D1eWD3B-o1_rnYaO

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hakuwepo haja ya kunitukana...ungetoa tu hoja tungeelewa...kimsingi hapa umetumia hisia mkuu...na ukiwa mwanaume inabidi tuquestion uanaume wako...maana wanaume hatutumii hisia bali akili
Matusi ni sign ya kuwa primitive na uncivilized...pull up your socks mkuu...

View: https://youtube.com/shorts/DoYE3WvpnzM?si=D1eWD3B-o1_rnYaO

Kuhusu hoja yangu soma hapa

View: https://youtube.com/shorts/DoYE3WvpnzM?si=D1eWD3B-o1_rnYaO

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
ila huu ndio ugaidi halisi, imagine badala ya kupigana na wanajeshi trained kama wewe, unaenda kupiga raia ambao hata hawako trained, wengine wanafunzi. kuna mama mmoja analia mtoto wake aliondoka mexico kuja shule, amechukuliwa mateka na wamempeleka gaza. kama wao ni wanaume, si wapigane na wanajeshi wa israel? unashambuliaje raia wasio wanajeshi? ndio ugaidi huo.
Hata Israel kila uchwao hushambulia raia wasio na hatia wa Palestina.

Hata sasahivi anauwa raia wa Gaza wasio na hatia anarushwa mabimu hovyo tu hana target maalum.

HAMAS wameuwa wanajeshi wa Israel pamoja na kuteka wanajeshi nyara akiwemo General wa Israel.
 
Haisaidii maana mwisho wa siku ushinde. Sasa kwa mfano Israel akivamia Gaza akaichukua yote utakuwa umepoteza au umewin.
Aichukue Gaza yote? Kweli wewe mgeni na mambo ya kimedani.

Israel anapigana na kikundi kidogo tu wala hapigani na nchi nzima ya Palestina ndo ujue nguvu waliyonayo HAMAS.

Ni miaka ama miongo kadhaa Israel hana namna ya kumaliza vita na HAMAS.
 
Back
Top Bottom