begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
we unaujua mwisho wa dunia?Vita vya Israel na farestine .ni vita vya kimkakati.
hivyo vita ndivyo vipimo vya mwisho wa dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unaujua mwisho wa dunia?Vita vya Israel na farestine .ni vita vya kimkakati.
hivyo vita ndivyo vipimo vya mwisho wa dunia.
Pakitulia wanaanza nae bungeni..Netanyahu nae ameshakua debe tupu anaongea bila vitendo nchi yake imepigika yeye analeta taaram
Wewe unafaham idad ya vifo vya Waisrael?cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana,hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran. wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
Israeli is most gayist county in the world...ushoga wao unaanzia kwenye military trainings kule wanapoenda majeshi ya jinsia moja...ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
ndiyo kuna watanzania wawili wanafunzi pia hawajulikani walipo, walikuwa kwenye mafunzo ya vitendo (internship)Mataifa kadhaa yameanza kutangaza kwamba watu wao pia wameuawa. kuna raia wa ufaransa, nepal, marekani na nchi kadhaa wameuawa. wengine walikuwa wanafunzi.
Waliomweka pale wanamlinda kwa kila kitu..
Russia, China, Korea Combine Mkuu 😂😂Wa kumfunga paka kengele ni nani hapo mkuu!
Kwani wewe hauujui mwisho wa dunia?we unaujua mwisho wa dunia?
wanasema karibia watanzania 10ndiyo kuna watanzania wawili wanafunzi pia hawajulikani walipo, walikuwa kwenye mafunzo ya vitendo (internship)
wewe ni mpumbavu sana. kwahiyo kwasababu wanaenda jeshi kitaifa kama hapa watoto wanavyoenda JKT basi wewe unasema wanaendaga kufumuana? mbona huna reasoning kichwani? kuna watu wafiraji na wafirwaji kama waarabu duniani hapa? na popote walipoenda kote ufiraji umekithiri. angalia zanzibar, mombasa, tanga na popote penye mamwinyi watu wanashinda kulinda watoto wasizurure ovyo la sivyo wanaweza kudhurika. israel ni kweli kuna uovu kam aule tu ulioko ulaya kwasababu wao pia wana tabia za ulaya ambako wengi wamechukua desturi walipokuwa uhamishoni, ila haimaanishi wayahudi ni wabaya kuliko waarabu. mwarabu ni kiumbe mwingine hapa duniani hafananishwi. wewe mwenyewe unalijua hili.Israeli is most gayist county in the world...ushoga wao unaanzia kwenye military trainings kule wanapoenda majeshi ya jinsia moja...
Kula mwisraeli ni lazima kwenda jeshi akifikia umri fulani...
Hii ni fact wala sina chuki yoyote...
wameshaungana bro, hakuna mgawanyiko tena. mijadala hiyo itakuja baadaye baada ya kuwafyeka hamas ndio siasa zitaibuliwa upya, na kuna uwezekano Netanyau akajiuzuru au akafukuzwa kazi. kila mtu anajua kuwa amefanya failure kubwa ya intelijensia, hasa kwasababu aliwaamini sana hamas na waarabu wengine. alidhani anapofanya urafiki na waarabu wengine hamas watatulia na ataituliza middle east, kumbe amefanya mahesabu vibaya. kitakachotokea sasa ni kwamba hamas au wapalestina hawatakuja kuaminika tena, na pale wanasema wanatafuta muarobaini wa kudumu. ni upi? tusubiri tuone.Hamasi unawajua...ni jeshi la nchi au kikundi?
Unajua Gaza ina ukubwa gani?
Ili uingie Gaza Unajua unapita ukaguzi wa Israeli.
Waziri mkuu aneshakalia kuti kavu. Kuunda serikali ilimpa tabu, sasa pakitulia serikali yake inaanguka.
hujui unachoongea. kwa wayahudi, wapo wa kuzaliwa, na wapo wa converts ambao hawana hata DNA yao. na kwao, upande wa mama ndio wanauthamini zaidi, ni matrilinealMyahudi wakwel ambae wao wanamtambua niyule pure kwababa namama wanazo DNA test zao wanapimana nandio ilitumika kuchagua watu wakurud hapo kutoka ukimbizin...
Nb. Wazayuni niwabaguzi mno wanamin kwenye race yao
Mkuu hakuwepo haja ya kunitukana...ungetoa tu hoja tungeelewa...wewe ni mpumbavu sana. kwahiyo kwasababu wanaenda jeshi kitaifa kama hapa watoto wanavyoenda JKT basi wewe unasema wanaendaga kufumuana? mbona huna reasoning kichwani? kuna watu wafiraji na wafirwaji kama waarabu duniani hapa? na popote walipoenda kote ufiraji umekithiri. angalia zanzibar, mombasa, tanga na popote penye mamwinyi watu wanashinda kulinda watoto wasizurure ovyo la sivyo wanaweza kudhurika. israel ni kweli kuna uovu kam aule tu ulioko ulaya kwasababu wao pia wana tabia za ulaya ambako wengi wamechukua desturi walipokuwa uhamishoni, ila haimaanishi wayahudi ni wabaya kuliko waarabu. mwarabu ni kiumbe mwingine hapa duniani hafananishwi. wewe mwenyewe unalijua hili.
Mkuu hakuwepo haja ya kunitukana...ungetoa tu hoja tungeelewa...wewe ni mpumbavu sana. kwahiyo kwasababu wanaenda jeshi kitaifa kama hapa watoto wanavyoenda JKT basi wewe unasema wanaendaga kufumuana? mbona huna reasoning kichwani? kuna watu wafiraji na wafirwaji kama waarabu duniani hapa? na popote walipoenda kote ufiraji umekithiri. angalia zanzibar, mombasa, tanga na popote penye mamwinyi watu wanashinda kulinda watoto wasizurure ovyo la sivyo wanaweza kudhurika. israel ni kweli kuna uovu kam aule tu ulioko ulaya kwasababu wao pia wana tabia za ulaya ambako wengi wamechukua desturi walipokuwa uhamishoni, ila haimaanishi wayahudi ni wabaya kuliko waarabu. mwarabu ni kiumbe mwingine hapa duniani hafananishwi. wewe mwenyewe unalijua hili.
Mkuu hakuwepo haja ya kunitukana...ungetoa tu hoja tungeelewa...kimsingi hapa umetumia hisia mkuu...na ukiwa mwanaume inabidi tuquestion uanaume wako...maana wanaume hatutumii hisia bali akiliwewe ni mpumbavu sana. kwahiyo kwasababu wanaenda jeshi kitaifa kama hapa watoto wanavyoenda JKT basi wewe unasema wanaendaga kufumuana? mbona huna reasoning kichwani? kuna watu wafiraji na wafirwaji kama waarabu duniani hapa? na popote walipoenda kote ufiraji umekithiri. angalia zanzibar, mombasa, tanga na popote penye mamwinyi watu wanashinda kulinda watoto wasizurure ovyo la sivyo wanaweza kudhurika. israel ni kweli kuna uovu kam aule tu ulioko ulaya kwasababu wao pia wana tabia za ulaya ambako wengi wamechukua desturi walipokuwa uhamishoni, ila haimaanishi wayahudi ni wabaya kuliko waarabu. mwarabu ni kiumbe mwingine hapa duniani hafananishwi. wewe mwenyewe unalijua hili.
Hata Israel kila uchwao hushambulia raia wasio na hatia wa Palestina.ila huu ndio ugaidi halisi, imagine badala ya kupigana na wanajeshi trained kama wewe, unaenda kupiga raia ambao hata hawako trained, wengine wanafunzi. kuna mama mmoja analia mtoto wake aliondoka mexico kuja shule, amechukuliwa mateka na wamempeleka gaza. kama wao ni wanaume, si wapigane na wanajeshi wa israel? unashambuliaje raia wasio wanajeshi? ndio ugaidi huo.
Aichukue Gaza yote? Kweli wewe mgeni na mambo ya kimedani.Haisaidii maana mwisho wa siku ushinde. Sasa kwa mfano Israel akivamia Gaza akaichukua yote utakuwa umepoteza au umewin.