Nakusalimia jirani....hao Hamas Wacha wanyooshwe tu maana Wana vichwa vigumu sanaHAMAS wapigwe mpaka wachakae japo itaenda sambamba na kupotezwa kwa maisha ya Wapalestina wengi wasio na hatia,lakini mwana kulitaka mwana kulipewa.
Nchi za Kimagharibi zinanufaishwaje na Israeli?Sema ww unachokijua tusikie.
israel ipo pale inalindwa na mataifa ya magharib kwa kila kitu ukijuacho kama hufahamu.
Hawana uwezo wa kusimama wenyewe kwa wenyewe kama unavyofikiri.
Kinachowatesa wapalastina ni kukosa support ya nje,kwa kuwa mataifa yote ya kiarabu ukiacha iran ni wanafiki watupu.
Hivyo hakuna taifa ambalo linawasaidia wapalestina km ilivyo kwa waisrael.
tulikuwa marafiki wa Islael miaka yote wakati wa Mwalimu, watu wetu walikwenda huko kwa kozi mbalimbali za Kilimo, Udaktari, kijeshi nk. Baada ya hapo jibu unalo kutelekeza hadi bandari yetu kwa mwarabu.Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Wafia dini waga mnaishi kwenye ulimwengu wenu wa kifikra uliojaa illuisions na upuuzi
Mkishatoka kwenye ugali maharage mkageuka binadamu mnakuwa na jeuri sana.Wafia dini waga mnaishi kwenye ulimwengu wenu wa kifikra uliojaa illuisions na upuuzi mwingi.
Tatizo letu ni unafiki hatuwezi simamia lolote kwa upande wetu.Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika!
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Irani
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Sijajua kama wewe ni MPAGANI, kumbe!Nakusalimia jirani....hao Hamas Wacha wanyooshwe tu maana Wana vichwa vigumu sana
Iliishia wapi na kivipi mkuu???tulikuwa marafiki wa Islael miaka yote wakati wa Mwalimu, watu wetu walikwenda huko kwa kozi mbalimbali za Kilimo, Udaktari, kijeshi nk. Baada ya hapo jibu unalo kutelekeza hadi bandari yetu kwa mwarabu.
Tena kwa kauli Moja wamesema kipigo kitakachotolewa kitakumbukwa vizazi na vizazi. Na ndio wameanza tayari HAMAS washaanza kulialia.cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana,hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran. wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
Nani amekudanganya wamevamia eneo? Karudie kusoma vizuri mkuu. Watu wamerudi kwao. Watoto wa mama mdogo mna tabu sana. Watoto wa kambo banaUnazungumzia kupigika kwa aina gani wakati waislael zaidi ya 800 wameuwa.
Hili ni pigo kubwa sana kwenye Historia ya taifa la Israel.
Kwa shambulio la Jumamosi hii, Hamas wamefanikiwa kwa zaidi 100% kwa sababu lengo la Hamas lilikuwa kulipiza kisasi na kuonya walowezi wa Kiyahudi wanaoishi katika maeneo ya Palestina.
Halafu walivyo waoga wanajificha kwenye makazi ya watu. Watachapika hukohuko wanakofugiwaila huu ndio ugaidi halisi, imagine badala ya kupigana na wanajeshi trained kama wewe, unaenda kupiga raia ambao hata hawako trained, wengine wanafunzi. kuna mama mmoja analia mtoto wake aliondoka mexico kuja shule, amechukuliwa mateka na wamempeleka gaza. kama wao ni wanaume, si wapigane na wanajeshi wa israel? unashambuliaje raia wasio wanajeshi? ndio ugaidi huo.
Hahahah hata wewe ungethubutu mkuu?Hao Hibollah wenyewe wamebaki kwanza wanatafakari kinachotokea Gaza kuona kama watakimudu
Anafurahia mtu kuuliwa
Subutuuuu! 😁Hahahah hata wewe ungethubutu mkuu?
Halafu walivyo waoga wanajificha kwenye makazi ya watu. Watachapika hukohuko wanakofugiwa
Tumieni akili kama wangekuwa hivyo mbona wameuwa wengi kuliko wapalestina.Israeli wana very high technology na vifaa vya kivita, kuanzia makombola, drones, vifaru, ndege za kivita nk.
Kaka, lile Taifa ni la watu wenye akili na wanajituma balaa.
Mziki waliouonyesha Gaza nafikiri imetoa somo kwa makundi mengine ya ki -jihad.