Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Israeli ni jeuri, tena kwa kuwa wanajua nyuma yao yupo Jehovah aliyeagana nao kwa agano la milele

Adui zake watapigika vibaya mno
 
ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.

Israeli ni center ya mapunga pale Middle East. Wameruhusiwa kabisa na wana haki zao
 
ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
Halikulipuliwa kweli??
 
Hee, kumbe wameshinda, hahaaaaa
Qur’an haijaacha kitu

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Ukikaidi utapigwa tu! Wapigwe mpaka wawe km chujio.

Ndiyo tafsiri ya kupanda mtumbwi wa vibwengo.
 
Ungejua siasa za dunia ungeelewa kwa nini Tanzania hatuwezi kuwa kama israel.

Ushawai jiuliza kwa nini israel ndio nchi pekee duniani yenye raia ambao hawafanani na majirani zake wote kimuonekano ? China , korea, japan wanafanana kimuonekano, india, bagladesh, Pakistan, wanafanana kimuonekano, Tanzania, burundi, kenya, uganda, rwanda , Zambia, Malawi tunafanana kimuonekano.marekani, mexico na canada wanafanana kimuonekano, south america Argentina, uruguay, Venezuela, raia wanafanana kimuonekano.

Cha kushangaza Israel wazungu kwa muonekano ila majirani zao nchi karibu zote ni wa arab kwa muonekano.

Pili ushawai kujiuliza kwa nini team za mpira za israel zinashiriki mashindano ya uefa champions league na europa league huku nchi yao haipo ardhi ya ulaya.

Tupe majibu
 
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.

Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?

Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.

Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.

Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?

Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?

Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani.

Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k

Africa tuna kwama wapi?

Mfano kama Nchi yangu Tanzania!

Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?

Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile.

Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Inawaonea wasio na meno

View: https://twitter.com/visegrad24/status/1712433956002415024?t=317W5UKFDGQb9mnKtkZHHw&s=19
 
Back
Top Bottom