Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israeli ni jeuri, tena kwa kuwa wanajua nyuma yao yupo Jehovah aliyeagana nao kwa agano la milele
Adui zake watapigika vibaya mno
Wanalijua hilo halafu wanajimwambafai?? Ni uzuzu
Hee, kumbe wameshinda, hahaaaaaUnapigana na watu wanatumia manati na makombeo na bado mnashindwa! Ndio mjue hamas kinachowakwamisha ni umiliki halali wa silaha
Usiamini media.. utashangA majengo yote yameshushwa na idadi ni hiyo hiyo uhalisia wanajua wenyeweTumieni akili kama wangekuwa hivyo mbona wameuwa wengi kuliko wapalestina.
ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
Halikulipuliwa kweli??ila twende mbele turudi nyuma, wazungu wamewaharibu sana wayahudi. wakati hamas wanavamia, kuna lishoga limoja lilionekana limevaa gauni linakimbia. sijui walikuwa kwenye sherehe gani. Mungu awahurumia ila it was really disgusting.
Qur’an haijaacha kituHee, kumbe wameshinda, hahaaaaa
Israeli ni center ya mapunga pale Middle East.
Never! Zanzibar hapo asilimia 99 ni waislam ila ndio kunaongoza kwa vitendo vya kishogaKaribu katika Uisilamu Mzee Kigogo
Jenerali yupi au Jenerali Phiri?Lakini mwisho wa siku watabaki kama moja ya mataifa walioivamia Israel na kumteka jenerali wa Israel! Wape credit.
Kaitafute GazaIsraeli anapigikia vizuri sema Huwa anakingiwa kifua na kaka mkubwa Marekani.Hii ni Aibu kwa Mossad kujifanya wanaongoza Kwa Intelligence duniani.
Akili za madrassa.Lakini mwisho wa siku watabaki kama moja ya mataifa walioivamia Israel na kumteka jenerali wa Israel! Wape credit.
Ungejua siasa za dunia ungeelewa kwa nini Tanzania hatuwezi kuwa kama israel.
Ushawai jiuliza kwa nini israel ndio nchi pekee duniani yenye raia ambao hawafanani na majirani zake wote kimuonekano ? China , korea, japan wanafanana kimuonekano, india, bagladesh, Pakistan, wanafanana kimuonekano, Tanzania, burundi, kenya, uganda, rwanda , Zambia, Malawi tunafanana kimuonekano.marekani, mexico na canada wanafanana kimuonekano, south america Argentina, uruguay, Venezuela, raia wanafanana kimuonekano.
Cha kushangaza Israel wazungu kwa muonekano ila majirani zao nchi karibu zote ni wa arab kwa muonekano.
Pili ushawai kujiuliza kwa nini team za mpira za israel zinashiriki mashindano ya uefa champions league na europa league huku nchi yao haipo ardhi ya ulaya.
Inawaonea wasio na menoSjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani.
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile.
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?