mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Viwango vya wachezaji wa Yanga vimeshuka,Aziz Ki injini ya timu hata timu ya Taifa hajaitwa yupo zake Tabata snall planet anakula shisha,kutoka kushinda tuzo ya mfungaji bora mpaka kuwa na holi moja katikati ya msimu,Dube mpaka aombe radhi kwa wazee wa Azam,Pacome amesusa anataka kuondoka,timu inamtegemea Mzize na Nzegeli,,Diara amekuwa mdaka upepo
Kocha mpya huja na falsafa zake na huchukua muda wachezaji kuingia kwenye mfumo.
Lolote linaweza kutokea kwa Yanga wakiwa wanaanza na kocha mpya,kuna kujitafuta au kuamsha spirit moya ya upambanaji,yote yanawezekana.
Ikitokea wakapuyanga kale kamsemo ka kjiinga wanakokatumia Simba kutuhadaa kuwa,''tunajenga timu'' katahamia Jangwani?? Au nao watakuja na kamsemo kao