Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Uko sahihi. Jengo hilo sio maendeleo ni kitendea kazi tu. Ila hata mipango endelevu ya kuwakwamua watu kimaendeleo au kuchochea uchumi wa kaya katika wilaya hiyo bado imepigiwa kelele kuwa kwanini ifanyike chato.
 
Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Yule mzee sijui alikuwa anafikiria Nin!!!, Halafu mazezeta yalikuwa yanamsifia eti,
 
Fukua fukua jitoneshe kidonda maumivu. Tupia na picha za busisi bridge uzimie kabisa kwa kihoro
Uzuri ni kwamba Mungu anatupenda Watz. Kudra za Mwenyezi Mungu zimetuepusha na mengi.
 
Chato kwani hamjui ilitakiwa iwe nchi? Mungu aliingilia kati mapemaaaaa sasahivi hata lile liuwanja la ndege imebaki stori
mkuu umeamua kulenga point bila kumung'unya maneno, safi.
 
Uko sahihi. Jengo hilo sio maendeleo ni kitendea kazi tu. Ila hata mipango endelevu ya kuwakwamua watu kimaendeleo au kuchochea uchumi wa kaya katika wilaya hiyo bado imepigiwa kelele kuwa kwanini ifanyike chato.
Inepigiwa kelele kwakuwa imevutwa kwa haraka mno na kurundukwa,vitu hata visivyo na hadhi ya kuwekwa kijijn chato vinawekwa i.e chato internacional airport wakati mwanza na ukubwa wake haina international airport
 
Your major weakness is always poor reasoning. This is your perennial deathbed.
Usiwe mbwiga Chato kila taasisi ilijenga ofisi zenye hadhi ya mkoa.

Wewe bavicha bure kabisa unalinganisha Chato na banda lenu hapo Ufipa st!
 
Umeona. Nawe uko kulekule kwenye kulalamika. So hoja kumbe sio jengo hilo bali ni kwanini Chato
Inepigiwa kelele kwakuwa imevutwa kwa haraka mno na kurundukwa,vitu hata visivyo na hadhi ya kuwekwa kijijn chato vinawekwa i.e chato internacional airport wakati mwanza na ukubwa wake haina international airport
 
Kama alitaka Mwanza ihamie chato sisi ni wakina nani tumpinge?
 
Na hakuna mtz yeyote aliyelalamika kwanini wami wakati kuna sehemu bado watu wanatumia madaraja ya miti, vivuko vibovu ama kutokuwa na mawasiliano kabisa nyakati za mvua. Ila kikifanyika kwingineko ndo hizo reasonings zenu zinaanza.
Ni Kodi zetu Tena Hilo daraja limechewa njia ya dar kaskazn Ina pesa nyingi mno
 
Badi ilo jengo libadilishwe matumizi wafanye shule ya advance
 
HAYA MAANDISHI BWANA NDIO UTAKUNA NA MWANAMKE ANAMILIKI BILION 6,789,823 KWENYE BANKI AKAUNTI BADO MWANADAMU ANAFIKIRI KUNA MTU MALI... HUYU MWANAMKE SIJUI BADO YUPO CRDB BANKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…