Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
ExactlyKosa moja humuondolea mtu mazuri yake. Tanzania tulikuwa na utaratibu tuliojiwekea wa kujenga maofisi ya Umaa kutokana na hadhi ya mji kimamlaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlyKosa moja humuondolea mtu mazuri yake. Tanzania tulikuwa na utaratibu tuliojiwekea wa kujenga maofisi ya Umaa kutokana na hadhi ya mji kimamlaka.
Uko sahihi. Jengo hilo sio maendeleo ni kitendea kazi tu. Ila hata mipango endelevu ya kuwakwamua watu kimaendeleo au kuchochea uchumi wa kaya katika wilaya hiyo bado imepigiwa kelele kuwa kwanini ifanyike chato.Huwez kuleta maendeleo kwa gorofa ya tanesco ilhali chato 40% ni maskini wa kutupwa wasio na hata makaz bora(nyumba za nyasi) huko mlimani unakosema hawana nyumba ya nyasi Wala watoto wao hawakai chini kwa kukosa madarasa,mentality first majengo baadae
Yule mzee sijui alikuwa anafikiria Nin!!!, Halafu mazezeta yalikuwa yanamsifia eti,Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428acheni Mungu aitwe Mungu. Kumchukua Magu ulikuwa mpango sahihi. Sijui alikuwa anataka kuifanyia nn nchi hii. Alikuwa mbaguzi katili wa ajabu. Pesa zetu zimetumika vibaya Sana. Lile jengo libadilishiwe matumizi, ni la serikali. Uwanja wa ndege ni hasara ya Taifa. Lile hosp. Nayo wafikirie kuipangia matumizi sahihi
Uzuri ni kwamba Mungu anatupenda Watz. Kudra za Mwenyezi Mungu zimetuepusha na mengi.Fukua fukua jitoneshe kidonda maumivu. Tupia na picha za busisi bridge uzimie kabisa kwa kihoro
mkuu umeamua kulenga point bila kumung'unya maneno, safi.Chato kwani hamjui ilitakiwa iwe nchi? Mungu aliingilia kati mapemaaaaa sasahivi hata lile liuwanja la ndege imebaki stori
Ukiwa unapita daraja jipya la mto wami jipige kifua na kumshukuru Mungu kwa kudra hizo hizoUzuri ni kwamba Mungu anatupenda Watz. Kudra za Mwenyezi Mungu zimetuepusha na mengi.
Inepigiwa kelele kwakuwa imevutwa kwa haraka mno na kurundukwa,vitu hata visivyo na hadhi ya kuwekwa kijijn chato vinawekwa i.e chato internacional airport wakati mwanza na ukubwa wake haina international airportUko sahihi. Jengo hilo sio maendeleo ni kitendea kazi tu. Ila hata mipango endelevu ya kuwakwamua watu kimaendeleo au kuchochea uchumi wa kaya katika wilaya hiyo bado imepigiwa kelele kuwa kwanini ifanyike chato.
Ni Kodi zetu Tena Hilo daraja limechewa njia ya dar kaskazn Ina pesa nyingi mnoUkiwa unapita daraja jipya la mto wami jipige kifua na kumshukuru Mungu kwa kudra hizo hizo
Your major weakness is always poor reasoning. This is your perennial deathbed.Alijenga yeye au Tanesco?
Usiwe mbwiga Chato kila taasisi ilijenga ofisi zenye hadhi ya mkoa.Your major weakness is always poor reasoning. This is your perennial deathbed.
Inepigiwa kelele kwakuwa imevutwa kwa haraka mno na kurundukwa,vitu hata visivyo na hadhi ya kuwekwa kijijn chato vinawekwa i.e chato internacional airport wakati mwanza na ukubwa wake haina international airport
Kama alitaka Mwanza ihamie chato sisi ni wakina nani tumpinge?Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Ni Kodi zetu Tena Hilo daraja limechewa njia ya dar kaskazn Ina pesa nyingi mno
HAYA MAANDISHI BWANA NDIO UTAKUNA NA MWANAMKE ANAMILIKI BILION 6,789,823 KWENYE BANKI AKAUNTI BADO MWANADAMU ANAFIKIRI KUNA MTU MALI... HUYU MWANAMKE SIJUI BADO YUPO CRDB BANKIHii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428