HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwann wengi wanashindwa kuliona hili.Magufuli alikuwa mbinafsi sana tuseme tu ukweli.
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini.
Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadi.
View attachment 1941428
Inasikitisha Sana KWAKWELI[emoji26]Wateja 3800 unapeleka gorofa zote hizo ....
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini.
Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadi.
View attachment 1941428
Your post bears a witness to what I had earlier stated that you're a victim of an impaired reasoning something that proves that the "wages" you're receiving vis a vis your assignment online are, not only justified, but not worthwhile too. You're definitely swindling your paymasters.Usiwe mbwiga Chato kila taasisi ilijenga ofisi zenye hadhi ya mkoa.
Wewe bavicha bure kabisa unalinganisha Chato na banda lenu hapo Ufipa st!
Mbona umepanic bro?Alijenga yeye au Tanesco?
Waziri kesha bomolewaMbona ofisi ni ya kawaida kabisa, kwaiyo waibomoe?
Aliye pitisha huo mkataba wa kifisadi ndiye alipe.Mkuu kwa hiyo unataka mkataba uvunjwe? Nani atalipa gharama za kuvunja mkataba?
Tulikuwa tukiongozwa na mzogaHii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini.
Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadi.
View attachment 1941428
Hata Gbadolite iko ndani ya Congo DRC. Kapaone leo, au just google.Kwani chato ni kenya acheni ushamba ,kumbuka chato inakuja kuwa makao makuu ya mkoa wa Geita
Yaani kila mfanyakazi wa Shirika atakuwa na chumba chake binafsi.Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini.
Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadi.
View attachment 1941428
Hapana. Ipangishwe Shirika lipate pesa.Mbona ofisi ni ya kawaida kabisa, kwaiyo waibomoe?