Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Magufuli alikuwa mbinafsi sana tuseme tu ukweli.
Sijui kwann wengi wanashindwa kuliona hili.

Japokua alikua na yake mengi mazuri.

Ila
Kwa alichokua anaendelea kukifanya chato,
Ilkua Ni kuligawa taifa kikanda na kikabila.

Uyu mzee alikua anapandikiza sumu mbaya Sana ya ukabila na ukanda kwny taifa letu.[emoji3525]
 

Haya majamaa yalijisahau sana. Hawana woga kabisa na dhamana za kukaa ofisi za umma. Hata Dodoma Tanesco haina ofisi kama hizo
 

Really?

Haujachukua jengo fulani huko na kulileta hapa ili kuhalalisha hoja yako, labda...?

Anyway. If this is true, basi kumbe serikali hii na viongozi wake ndio tatizo la nchi hii...

Hivi inakuwaje serikali ya CCM inakosa kuwa na priorities katika kutawanya rasrimali za nchi...?

Huu ni ubinafsi mbaya sana wa viongozi wetu...!
 
Huu ni ubinafsi wa ajabu, kwa nini wasiwaige hata posta, wao ofisi zao nchi nzima zinajengwa kulingana na ramani iliyoidhinishwa kwa hiyo utakuta kila wilaya zinafanana au zinatofautiana kidogo ukubwa na kwenye makao makuu ya miji labda ndo utakuta jengo la ofisi kubwa zaidi.
 
Majengo ya ghorofa kama haya ni muhimu, Tanesco waendelee na ujenzi kwenye maeneo mengine ya Wilaya yenye majengo ya ajabu wajenge maghorofa
 
Usiwe mbwiga Chato kila taasisi ilijenga ofisi zenye hadhi ya mkoa.

Wewe bavicha bure kabisa unalinganisha Chato na banda lenu hapo Ufipa st!
Your post bears a witness to what I had earlier stated that you're a victim of an impaired reasoning something that proves that the "wages" you're receiving vis a vis your assignment online are, not only justified, but not worthwhile too. You're definitely swindling your paymasters.
 
Tulikuwa tukiongozwa na mzoga
 
Yaani kila mfanyakazi wa Shirika atakuwa na chumba chake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…