Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

TUHARAKISHE KATIBA MPYA TUACHE UJINGA TUTALALAMIKIA MANGAPI???
hili jengo ligeuzwe iwe shule aunt ofisi zoote maji,umeme,tra,rea,nec wooote wabanane humohumo shwensi!!
 
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?

Kwa hiyo tuendeleza Mbeya, Mwanza na Dar tu ?

Kwani hao ma specialist walikuwa wanakubali kukaa Mbeya na Mwanza in the ‘90 and ‘80 ? No less the 70s and ‘60 ? Hell no!
Siku hizi wanakubali kwa sababu Mbeya ya 1980 sio ya leo.

Lazima vijiji, viji miji, misitu wilayani, mikoani iendelezwe ili ivutie hao ma specialist.
 
Mbona Kama umepaniki ka umepigwa dole la kundu, hebu tulia kunywa maji mengi halafu tuambie tija ya kujenga huo mradi wa tanesco chato sio unatoka nje ya mada
 
Binadamu asili yake ni unafiki tu.chato nayo ni sehemu ya Tanzania

Wewe unaejiona una akili na usomi wa kijinga jiulize

Kati ya mwendazake aliyetaka kuijenga chato kuwa kivutio kwa watanzania wote

Na hao mnao wasifia.wakati wao wana majumba ya kifahari huko uraya na marekani bila faida yoyote kwa watanzania.

Mwogopeni Mungu
 
hadi kufikia sasa endapo tu mwenyezi mungu asingeingilia kati basi sasa ingekuwa jiji
Chato kwani hamjui ilitakiwa iwe nchi? Mungu aliingilia kati mapemaaaaa sasahivi hata lile liuwanja la ndege imebaki stori
 
Kwani hilo ghorofa la Hayati Mengi huko porini lina faida gani ?
Wachaga wanakuwasha ee? Utajengaje ghorofa lote hilo wakati chato 40% ni nyumba za nyasi? Kilimanjaro yenyewe yenye umeme Kaya zote kwa 90% haina office kamA hiyo
 
Hivi kililmanjaro ni mji ? Unaandika umelewa au uko timamu ?
 
Mawaziri aina ya Kalemani majina yao yakatwe 2025, hawawazi maslahi ya taifa
 
Ule uwanja nao vipi? hautaota nyasi tu? Yani kuna watu wabinafsi sana humu duniani... Lile tawi la CRDB linaendeleaje?
ATM zinamaliza siku nne bila kutembelewa na mteja, ukienda unakuta zina utando wa buibui
 
Hapo kwa wazalendo umemsahau mtu na nusu
Thomas Sankara.
 
The drastic fall of Chatoism, sasa Kagera itakuwa safe.
 
Ukiwa unapita daraja jipya la mto wami jipige kifua na kumshukuru Mungu kwa kudra hizo hizo
kwani hapo Wami pamejengwa uwanja wa ndege wa kimataifa, hospital kubwa ya rufaa, hotel ya nyota 3, mbuga ya wanyama imehamishiwa hapo na kuna taa za barabarani zinazoongoza punda???
 
kwani hapo Wami pamejengwa uwanja wa ndege wa kimataifa, hospital kubwa ya rufaa, hotel ya nyota 3, mbuga ya wanyama imehamishiwa hapo na kuna taa za barabarani zinazoongoza punda???
Ukiwa waenda kuhesabiwa disemba ukipita wapi jipige kifua kumkumbuka jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…