Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato.

Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.

Kalemani.jpg
 
Mama atatangaza mkoa mpya, kwa hiyo mwenge unazimiwa makao makuu ya mkoa mpya.Hongera JPM mama yuko pamoja na wewe, Leo kakuinua kuwa kiatu chako size kubwa.Leki zoni ng'araaaaaaaaaaaaaàa
Umerogwa wewe siyo bure
 
Vile mwendakuzimu amefurahi kutokea huko kuzimu baada ya kusikia kuwa mwenge umezimwa Chato😁😁😁
162869316286936.jpg
 
Itimize wapi? Labda kama vigezo ingekuwa wingi wa punda mjini
daa yani unahis wakipewa mkoa watafaid sana mkuu!!?? ..uzur hata chato ni tz unaruhusiwa kununua kiwanja na ukaw mkaazi wa chato, uzur viwanja bei ni nafuu naamin hilo!!ko usiumize ubongo na moyo wako mwisho upate pressure ya kushuka ujifie bure...
 
Kuna waliokufa wakakuachia ujane lkn bado unaishi.
 
Back
Top Bottom