Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

Nipe faida tano za mwenge
1. Hutengeneza ajira kwa wakimbiza mwenge hata kama ni ajira ya muda ila watu hao hupata kipato kinachoweza kuboresha maisha yao.

2. Unaongeza social network kwa wanaoshiriki - wengi hufahamiana huko na baadae mahusiano hayo huleta faida za kiuchumi au kijamii

3. Huwezesha wakimbiza mwenge kufahamu maeneo mengi ya nchi hivyo kuwa na jiografia pana ya nchi yao

4. Husaidia kuongeza pato kwa wakazi wa eneo ambalo mwenge hupita na kulala

5. Huongeza mzunguko wa pesa nchini (money circulation) kupitia matumizi ya wakimbiza mwenge, mafuta ya magari, service za magari, michango ya mwenge n.k
 
Uwanja wa ndege sasa hivi wanaanikia kamongo
Ndivyo ulivyodaganywa na wanasiasa? ATCL ilikuwa na safari mbili kwa wiki ila kutokana na ongezeko la abiria ikaongeza safari na kufikia tatu kwa wiki.
 
Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato.

Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani chato.
Mbona mwenge ushawahi zimwa Butiama? au butiama ni mkoa?
 
1. Hutengeneza ajira kwa wakimbiza mwenge hata kama ni ajira ya muda ila watu hao hupata kipato kinachoweza kuboresha maisha yao.

2. Unaongeza social network kwa wanaoshiriki - wengi hufahamiana huko na baadae mahusiano hayo huleta faida za kiuchumi au kijamii

3. Huwezesha wakimbiza mwenge kufahamu maeneo mengi ya nchi hivyo kuwa na jiografia pana ya nchi yao

4. Husaidia kuongeza pato kwa wakazi wa eneo ambalo mwenge hupita na kulala

5. Huongeza mzunguko wa pesa nchini (money circulation) kupitia matumizi ya wakimbiza mwenge, mafuta ya magari, service za magari, michango ya mwenge n.k

Majina ya viongozi wa mbio za mwenge tangu uanze kukimbizwa wanao ishi na almaruhumu tupatie.
 
Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato.

Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani chato.
Amelaaniwa amtwgemeaye binadamu.....
 
Kumbe ibada ya kuzima mwenge inabamba sana, acha tuisikilizie hii kanda ya chato huenda ikazifunika kanda nyingine kongwe...
 
Ndivyo ulivyodaganywa na wanasiasa? ATCL ilikuwa na safari mbili kwa wiki ila kutokana na ongezeko la abiria ikaongeza safari na kufikia tatu kwa wiki.
Kawadanganye madunya wasio na A wala B hasa lumumba wenzako.
 
mnaulizwa mwenge mpeni faida 5 za mwenge mnaanza kurukaruka
 
Back
Top Bottom