Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

Mwenge ni ujinga kufuja Mali za walala hoi
 
Nipe faida tano za mwenge
Faida pekee ya kuanzishwa kwa mwenge ni kijenga hamasa katika utaifa. Iwapo una wananachi ambao hawana inami ni utaifa tena bali kila mtu anajiangalia kivyakevyake, basi mwenge unaweza kuwa hauna faida tena, na iwapo Kagame akituma jeshi lake, lenye vifaa hatari sana zaidi ya alivyokuwa navyo Amini, kuja kututandika hakuna raia atakayejitolea kwenda kupigana tena kama wale waliojitolewa mwaka 1979.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…