Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato.

Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani chato.
Labda fursa ya kusambaza Ukimwi na Corona tu hakuna lolote la maendeleo endelevu![emoji2956][emoji2]
 
Labda fursa ya kusambaza Ukimwi na Corona tu hakuna lolote la maendeleo endelevu![emoji2956][emoji2]
Watu wanao uza kondom huuza sana siku hizo
 
Kama mpaka karne hii mwenge kuzimau/kuwashwa mkoani au wilayani ni big deal - tuna kazi kubwa sana na tunahitaji muda mrefu sana!!
 
Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato.

Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani chato.
Fursa ya maendeleo
 
Nipe faida tano za mwenge
mimba za utotoni kupatikana kwenye mikesha
mikesha watu kurudi nyumbani asubuhi
matumizi mabaya ya fedha za umma
usambazaji wa uviko kwa hiyo mikusanyiko ilsiyo rasmi
uchawi (Refer maandiko kwenye torati).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…