Kali Ongala (almasi iliyojificha kwenye tope) ndio Arteta asiyeaminiwa pale Azam. Azam ikitaka kuwa kubwa wampe timu.

Kali Ongala (almasi iliyojificha kwenye tope) ndio Arteta asiyeaminiwa pale Azam. Azam ikitaka kuwa kubwa wampe timu.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Aliichukua timu kwa muda anashinda karibu kila mechi. Akawapiga Simba na Alikuwa awapige na Yanga sema refa alikuwa upande wao.

Lakini Kama kawaida wivu, ushamba na kutokujua wakampa timu mzungu wa % za kugawana timu imeanza kupoteana.
Timu yenye kila kitu inakosa akili kubwa kiongozi.

Kali si tu alilithi kipaji Cha soka kwa baba yake Bali akili kubwa Sana akisikiliza mashairi ya nyimbo za baba ake.

Ndio maana anaakili za kusoma mchezo, kuandaa kikosi na kufundisha pia. Pia karithi ubongo mkubwa Sana wa mama yake profesa na mkufunzi wa chuo kikuu.

Pia kapita pita vilabu vya ulaya Sana huyu kocha kinda.

Kwa uwezo alioonesha kwa kuongoza timu kwa mechi kumi Azam wakiendelea na figisu nashauri tu atoke akaombe kuifundisha Ihefu aoneshe uwezo msimu ujao ataonekana na kufanya makubwa.
 
Huyo Kali Ongala ni kama Selamani Matola tu. Ukimuachia timu, anashinda mechi mbili tatu; badaye timu inageuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe.
 
Back
Top Bottom