GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Anadhaminiwa na sele bwenziKwan KMC naye anadhaminiwa GSM? Mbona hoja zinahama hama mnakua hamueleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadhaminiwa na sele bwenziKwan KMC naye anadhaminiwa GSM? Mbona hoja zinahama hama mnakua hamueleweki
Kwahiyo hii umeshaona ni utani ambao sisi unatuumiza? Haya hakikisha komenti umeandika hiiAnadhaminiwa na sele bwenzi
Good. Now say that again without crying.Mwaka huu ubaya ubwela kumamakeh...jino kwa jino, Hadi mechi ya mwisho tutafanya umafia wote mamaeh na Simba bingwa ..by the way mmeshampa pesa yote ikangalombo? Mana tuliwasiliana nae tukamwambia timu unayoenda kucheza ni mbovu na zaidi ni matapeli na huwarusha pesa wachezaji wake na Zaid huwabania zikija ofa nono, kwaio jamaa huko anataka signing fee yote mumuwekee kwenye akaunti mamaeh, la sivyo hachezi, na atarudi kwao au sisi mnyama tunaweza kumtafutia timu nyingine, Bado Kuna bomu la baleke.
Kwani sele bwenzi hakumtungua mbilikimo diarra katikati ya uwanja?Kwahiyo hii umeshaona ni utani ambao sisi unatuumiza? Haya hakikisha komenti umeandika hii
Kombe la wanawakeHalafu wanacheza kimataifa huyo dube na musonda na abuya wanacheza mchangani kupanga kuchagua
Mbona mnawazarau sana wanawake ..wewe ulizaliwa mkunduni mwa nyani?Kombe la wanawake
AMbalo mlivalishwa shanga na motsepe fainali mnatamba nazo mtaani mpaka sasaKombe la wanawake