Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

Muda ni mwalimu mzuri.
Njia pekee ya kumzuia Rostam Aziz asimiliki hizo hisa ni Kalonzo na wenzie kuzinunua, period.

Kama wana hela wampe Rostama Aziz asepe. Otherwise hizo zingine ni tantalila au ngonjera au litania
 
Well huku duniani kwenye ulimwengu wa sasa a dirt kwenye profile yako inaweza kukuathiri.
Hii sio biashara ya mchicha au maharage where no body cares

In US and europe, even south africa some places if una bad reputatiion katika maeneo fulani good luck getting chance over there
Donald Trump ana makesi ya ubakaji kibao na ya kukwepa kodi bado Wamarekani wamemchagua kuwa Rais wao.

Halafu unatudanganya hapa kuhusu US eti na UK. Labda UK ya kwenu huku Nyrutunguru au USA ya Tengeru
 
Mifano hii hapa michache:-
1. Kununua magari ya kifahari yanayoshuka thamani haraka badala ya mali inayozalisha faida.

2. Kuingiza fedha kwenye biashara usizozielewa kisa tu umeona wengine wanapata faida.

3. Kuweka mtaji kwenye miradi ya upatu (Pyramid schemes) inayoahidi utajiri wa haraka bila kazi.

4. Kutumia mtaji wa biashara kulipia anasa na sherehe badala ya kuuzungusha ili ukue.

5. Kununua ardhi yenye migogoro ya kisheria bila kufanya utafiti wa kina wa umiliki.
Hapo nimekupata kabisa
 
Wakenya hawataki kuamini mTanzania anaweza kuwekeza uwekezaji mkubwa kwao
Mkuu umesikiliza kwa kuelewa au umesikiliza uje ubishane? Mbona katoa sababu zilizo wazi kabisa kwa nini wanachunguza?
 
Acha ubaguzi wa rangi, haukusaidii kitu kwenye karne ya 21. Aweza kuwa mtu mwenye asili ya Iran kutoka jimbo la Baluchestan lakini kama amekidhi matakwa ya kikatiba ya uRaia anabaki ni Mtanzania. Hata wewe Mshana Jr tukirudi nyuma miaka 500, unaweza kuta asili yako ni Sudan

Umaskini wenu, kukosa maarifa ya biashara, mindset zenu mbovu, kupenda maisha ya anasa ndiyo kunawarudisha nyuma kimaendeleo kisha kuzaa chuki kama hii.

Mwaka 1990s-2000 Rostam alikuwa na raslimali za kurithi kutoka kwa Baba yake aliyekowa exporter wa hides and skins, akazi transform kupitia fursa alizozipata wakati washirika wake wengine waliishia kuponda starehe na kuwekeza hovyo.

Nilitegemea tumuunge mkono Rostam kwa kuweza kuingia Kenya, nchi ambayo imeifanya Tanzania kuwa soko la bidhaa la viwanda vyake kwa miaka.

Nilitegemea tutembee kifua mbele kumuunga mkono Rostam Mtanzania mwenzetu na kuanza kuingia Kenya na biashara zetu zingine. Ni aibu kwa watu kama Mshana Jr kuingiza chuki za kisiasa za ndani na kumpiga vita Rostam
Huyo jamaa bila shaka ni chadema, ni pingapinga fc sijawahi kuona Akizungumza lolote zuri kuhusu Tanzania au serikali ya Tz
 
Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz, akisisitiza kuwa taasisi hiyo iliyoanzishwa na Aga Khan ilikuwa ni sehemu ya harakati na kupigania uhuru na kwamba uhuru wa vyombo vya habari haupaswi kuingiliwa

Pia soma
=====

"Tunachunguza kwa umakini uuzaji wa hivi karibuni wa hisa nyingi za shirika la Nation Media Group. Hii ni kwa sababu ni moja ya taasisi zilizoanzishwa na marehemu Aga Khan, na Nation Media Group ilikuwa sehemu ya harakati za kupigania uhuru wa nchi hii.

Kwa hivyo, uhuru wa vyombo vya habari hauwezi kuingiliwa kamwe. Tutachunguza mambo haya ili kuona nini hasa kimetokea, kwani nimeambiwa kuwa kwa siri, shilingi milioni 866 zimewekwa kwenye bajeti ya ziada kupitia Idara ya Serikali ya Utangazaji ili pesa hizo zilipwe haraka sana.

Jiulizeni, ni nani anayepokea pesa hizi? Tunataka kumuuliza mmiliki huyo mpya, au mwanahisa mkuu, jinsi atakavyohakikisha uhuru wa shirika la Nation Media. Hiki ni chombo muhimu sana cha mawasiliano katika nchi hii na ni lazima ahakikishe uhuru huo unakuwepo.

La sivyo, kumbukeni rafiki yangu Raila Odinga aliwahi kusema kuwa punda amechoka. Punda alilia hapa kwa sababu ya taarifa zilizotolewa na Rigathi Gachagua. Wakenya wamechoka!" - alisema Kalonzo


View attachment 3558466
Maskini anamchunguza tajiri
 
Huyo jamaa bila shaka ni chadema, ni pingapinga fc sijawahi kuona Akizungumza lolote zuri kuhusu Tanzania au serikali ya Tz
Halafu mijitu humu ndani inamkubali sana eti kwa madini? Madini gani anatoa mtu ambaye ni divisive kiasi hicho?
 
Acha ubaguzi wa rangi, haukusaidii kitu kwenye karne ya 21. Aweza kuwa mtu mwenye asili ya Iran kutoka jimbo la Baluchestan lakini kama amekidhi matakwa ya kikatiba ya uRaia anabaki ni Mtanzania. Hata wewe Mshana Jr tukirudi nyuma miaka 500, unaweza kuta asili yako ni Sudan

Umaskini wenu, kukosa maarifa ya biashara, mindset zenu mbovu, kupenda maisha ya anasa ndiyo kunawarudisha nyuma kimaendeleo kisha kuzaa chuki kama hii.

Mwaka 1990s-2000 Rostam alikuwa na raslimali za kurithi kutoka kwa Baba yake aliyekowa exporter wa hides and skins, akazi transform kupitia fursa alizozipata wakati washirika wake wengine waliishia kuponda starehe na kuwekeza hovyo.

Nilitegemea tumuunge mkono Rostam kwa kuweza kuingia Kenya, nchi ambayo imeifanya Tanzania kuwa soko la bidhaa la viwanda vyake kwa miaka.

Nilitegemea tutembee kifua mbele kumuunga mkono Rostam Mtanzania mwenzetu na kuanza kuingia Kenya na biashara zetu zingine. Ni aibu kwa watu kama Mshana Jr kuingiza chuki za kisiasa za ndani na kumpiga vita Rostam
Rostam ndiye samaki aliyeozesha kapu zima, kila dili ya wizi yeye ndiye starring, jiulize, kwanini alikimbia kipindi Magu ananyoosha nchi? Mwizi!
 
Rostam ndiye samaki aliyeozesha kapu zima, kila dili ya wizi yeye ndiye starring, jiulize, kwanini alikimbia kipindi Magu ananyoosha nchi? Mwizi!
Jiulize mwenyewe kwanini aliporudi hapa mwaka 2018 Magufuli akamkumbatia badala ya kumtupa jela!!
 
Back
Top Bottom