Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

Muda ni mwalimu mzuri.
Njia pekee ya kumzuia Rostam Aziz asimiliki hizo hisa ni Kalonzo na wenzie kuzinunua, period.

Kama wana hela wampe Rostama Aziz asepe. Otherwise hizo zingine ni tantalila au ngonjera au litania
 
Donald Trump ana makesi ya ubakaji kibao na ya kukwepa kodi bado Wamarekani wamemchagua kuwa Rais wao.

Halafu unatudanganya hapa kuhusu US eti na UK. Labda UK ya kwenu huku Nyrutunguru au USA ya Tengeru
 
Hapo nimekupata kabisa
 
Wakenya hawataki kuamini mTanzania anaweza kuwekeza uwekezaji mkubwa kwao
Mkuu umesikiliza kwa kuelewa au umesikiliza uje ubishane? Mbona katoa sababu zilizo wazi kabisa kwa nini wanachunguza?
 
Huyo jamaa bila shaka ni chadema, ni pingapinga fc sijawahi kuona Akizungumza lolote zuri kuhusu Tanzania au serikali ya Tz
 
Maskini anamchunguza tajiri
 
Huyo jamaa bila shaka ni chadema, ni pingapinga fc sijawahi kuona Akizungumza lolote zuri kuhusu Tanzania au serikali ya Tz
Halafu mijitu humu ndani inamkubali sana eti kwa madini? Madini gani anatoa mtu ambaye ni divisive kiasi hicho?
 
Rostam ndiye samaki aliyeozesha kapu zima, kila dili ya wizi yeye ndiye starring, jiulize, kwanini alikimbia kipindi Magu ananyoosha nchi? Mwizi!
 
Rostam ndiye samaki aliyeozesha kapu zima, kila dili ya wizi yeye ndiye starring, jiulize, kwanini alikimbia kipindi Magu ananyoosha nchi? Mwizi!
Jiulize mwenyewe kwanini aliporudi hapa mwaka 2018 Magufuli akamkumbatia badala ya kumtupa jela!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…