Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

Elimu hawana kazi kukariri formula na kucopy assignment ndo balaa lake huku mtaani utapigwa tu ...80% ni wanafunzi wa vyuoni je ushamba kiasi gani? Sijaona wasomi wenye ukombozi wa kifikra hata kuchanganua mambo tangu miaka kibao naeleza watu haya mapyramid schemes hawaelewi
 
Nchi hii wajinga ni wengi ....na elimu ya kukariri hwajui kuchanganua mambo kabisa
Tunashindwa kuelewa siri ya mafanikio ni kufanya kazi tu. Tunatumia muda mwingi kwenye dini baada ya kufanya kazi. Wakoloni wametuweza kweli kuleta hizi dini hatutaweza kuendelea kamwe kama tutaendelea kuamini kila kitu Mungu atatufanyia.
 
Ilikuwepo D9 ikala hela za watu
Watu hawakujifunza

Ikaja Q Net
Hawakujifunza

Imekuja hii hatajifunza

Itakuja nyingine bado kuna wajinga watapigwa, afu wanataka mitihani ya LST ishushwe ubora
 
Watu mnaacha kufanya kazi mnakomaa sana na masuala mepesi ya kubeti , uliona wapi mtu amefanikiwa kirahisi, hakuna jambo rahisi dunuiani nawashangaa hata hawa jamaa wanaoshinda katika vijikanisa ati wanaombewa wawe matajiri wakati huyo mwenye kijikanisa mwenyewe anataka hela zao ili awe tajiri, kuna uvivu mkubwa sana wa kufikiria katika taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…