Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

Tunashindwa kuelewa siri ya mafanikio ni kufanya kazi tu. Tunatumia muda mwingi kwenye dini baada ya kufanya kazi. Wakoloni wametuweza kweli kuleta hizi dini hatutaweza kuendelea kamwe kama tutaendelea kuamini kila kitu Mungu atatufanyia.
Ukweli mtupu!
 
Amejaa tele twita huko.

Ameweka pinned post anaomba mama ampe uratibu wa vyanzo vya mapato kwa serikali...

Seems baada ya kuona Kaylnda wamefanikiwa kukwapua basi anataka serikali ianzishe hela za kudownload
Na kichwa chake kama dume la siafu aliambiwa kule na watu punguza kupromote utapeli...Huyu wa kukamata ameshare clip kibao kuwarubuni watu
 
Elimu hawana kazi kukariri formula na kucopy assignment ndo balaa lake huku mtaani utapigwa tu ...80% ni wanafunzi wa vyuoni je ushamba kiasi gani? Sijaona wasomi wenye ukombozi wa kifikra hata kuchanganua mambo tangu miaka kibao naeleza watu haya mapyramid schemes hawaelewi
Kuna binti alikomaa na mimi Whatsapp ananiforce nijiunge na huo utapeli nikampiga maswali kadhaa akanuna.
Sasa ngoja nimtumie text now nijifanye nataka kujiunga nimuone atasemaje.
 
Kuna binti alikomaa na mimi Whatsapp ananiforce nijiunge na huo utapeli nikampiga maswali kadhaa akanuna.
Sasa ngoja nimtumie text now nijifanye nataka kujiunga nimuone atasemaje.
Akili hawana kabisa ulishaona ile doc walioshare Kuna kampuni nimesahau jina wanatapeliwa 😅😅😅wamaweka majina yao ...wangalie wengi 90% kanda ya kaskazini..na wala waliofungiwa na Q NET huko manyara na Arusha wengi ni kanda ya kaskazini yaani elimu haija wasaiidia kabisa
 
Sijaona hayo majina weka hapa tuone
 
Back
Top Bottom