Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kuna mmama mmoja ni mwalimu alikua mwenyekiti wa jumuia yangu naye alinishawishi sana kuingia huko mpaka akaitisha mkutano na mtu alomuingiza kunishawishi jamaa alipoanza kusema ananiunganisha na mimi niwaunge watu watano nikasema hii ni Network Marketing nikaishia kusema sawa mkuu tutawasiliana. Kwa sababu ya heshima niliyonayo kwake niliishia kukaa kimya.Mrejesho huu hapa ameniambia niache unafiki [emoji23]
View attachment 2383167
Baada ya kama wiki tatu akanambia ameweka 1M kila siku anapokea 54k nikamwambia hongera. Sasa toka juzi sijaonana naye nasubiri Jmos tutakutana kwenye jumuia nimuulize kama miamala bado inasoma?
Sent using Jamii Forums mobile app