zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
akili gani mkuu watanzania 98% hatuna akili na hatujawahi kuwa na akili na hatuji kuwa nazo kamweeeeeHivi hata kama kukata tamaa ndio uambiwe kuna nyumba za kudownload? Au kuna pesa za kudownload? Au eti unaweza kudownload gari? Jamani jamani tutumie hata hizi akili ndogo tulizonazo.
kuna watu humu walipewa saa ya m5 eti itajidabo iwe 10 hahahaha
jana nilikuwa sehemu kijana kachakaa mimi nina nafuu eti anatoa matangazo ya kujiunga na free mason nilicheka sana