Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nusu ya Watanzania ni chini ya Miaka 18
Hesabu inayobakia 35,000,000
Kati yao asilimia 20 ni Wastaafu
Hivyo twabaki na Milioni 28
Kati ya hao Milioni 28 wanaojitambua ni 100,000
Hivyo misukure ni Milioni 27.9
"acheni kujipa presha mbona tigopesa na mpesa zinasumbuaga" [emoji118]huyu jamaa anajua kutuliza wenge[emoji23][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]nchi ngumu Sana hiiWamesema wapo msibani
[emoji23][emoji23]Mrejesho huu hapa ameniambia niache unafiki [emoji23]
View attachment 2383167
Hawa wameshajipanga hata nyie wa mwanzo lazma wawale tu usicheze na pesa ukishaionja huwez kutokaHizi mambo huwa za kucheza mapema isizidi miezi miwili toka imeanzishwa.
#MaendeleoHayanaChama
nchi ina mazezeta wengi hii eti CEO MCHINA ANAITWA THOMAS, TOKA LINI MCHINA AKAITWA THOMAS 😂Huyo sijui mshauri wa serikali ,mkosoaji blhblh tu
Watu walimuona akili kubw
Wakati wajanja wanamuona
Mlopokaji tu
Ova
NILIKUWA NAHUBIRI KAMA MWAMPOSA WAKIMBIE HAWAKUELEWA 😂Hivi hawa Mazombie watalizwa mara ngapi?
nimelizabua kelebu moja limevimba mashavu, hawa mazezeta huwa hawakomi....Huyo Anayelia Mzabue Kofi Moja Alie Vizuri
hahahahahaha kudadeki Mazezeta wengi hii nchi...Mrejesho huu hapa ameniambia niache unafiki 😂
View attachment 2383167
Umesahau DECI na Wale wakulima wajanja wanaochunguzwa na Takukuru sasa.Ilikuwepo D9 ikala hela za watu
Watu hawakujifunza
Ikaja Q Net
Hawakujifunza
Imekuja hii hatajifunza
Itakuja nyingine bado kuna wajinga watapigwa, afu wanataka mitihani ya LST ishushwe ubora
BIKO MKWANJA NJE NJEEEEEEEASANTENI WADAU KWA USHIRIKIANO.
WIKI IJAYO TUNAKUJA NA KITU KIPYA, KIKUBWA NI KUJARIBU TU. IKO SIKU UTAFANIKIWA
Huyu nimemuona YouTube alitembelewa na shaster tv anasema Yuko milionea level 4Ni "biashara"ya mtandao unaweka hela nyingi halafu unapata hela nyingi zaidi...wajinga ndio waliwao !
View attachment 2383093
Anayeendesha ukurasa wa Kylinda aameanza kutapika...Mijinga ndio iliwayo
Kekundu kekundu
Nenda you tube andika kekundu halafu tulia