Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

Haya makitu mbona watz mnapenda shortcut acheni hii mambo
 
Kwanza green card ni bure. Pili GC ni worldwide. Tatu Kuna watu kadhaa wameshinda GC na wapo USA rn na wengine wapo humu humu JF. Changamoto ya GC ni kwamba ni bahati nasibu Kuna 50,000 slots only kwa waombaji wote worldwide so you can see ambavyo ni mbinde kushinda.
Mimi naomba nisaidiwe kuelewa katika hili, mara ya kwanza nasikia hii issue na jina ya hii kampuni na maswali ningeomba kufahamu tu. Pesa zilikuwa zinatengenezwa kivipi yaani ni biashara ya aina gani? mpaka mtu kufikia kuweka pesa kwa dhamana gani na nini alikuwa anapata je ni kama vicoba hivi au uwekezaji kama bank? swali lingine nani alisajili kampuni hii? hawana vitambulisho? ofisi wanakodi bila kulikana ni kina nani? hakuna ID na hizo licence au vibali wamepewa hawajulikani kina nani? wanafanya biashara gani kuna mambo mengi serikali lazima iyajibu kweli watu wajinga lakini vibali wanatoa wao. Haya makampuni ya betting yamejaa kila siku kweli sio matapeli kama hawa tu basi wanatumia njia mbadala kwanini serikali inaachia haya mambo kiholela bila kujiridhisha kama wanayosema kwa watu kushinda ni kweli au ni utapeli wa wazi na vyombo husika wanaliangalia tu watu kuibiwa? kuna haja ya kufanyika tathmini kwa haya makampuni yote ya betting yanayozagaa kila leo vijana toka asubuhi wako busy betting.
 
20221012_071936.jpg
 
Mkuu hata mimi ndo mara ya kwanza nimewasikia hawa jamaa ila you can tell ni matapeli kwa story za juu juu tu sijui how people fell for it, wajinga wanazaliwa kila siku na wajinga ndo waliwao. Acha wapigwe.
 
Lakini serikali inajukumu la kuwalinda hawa tunaowaita wajinga kuna jamii wanaamini chochote wanachosikia tu sasa sielewi ni ujinga au maisha yanawafanya waamini haya utakumbuka hata ya kule Mwanza sijui yule Mama jina limenitoka akajifanya yeye kama Mungu anapigiwa na magoti lakini serikali ikaingilia. Narudi bado vipi hawa wanaingia nchini wanapata vibali na wanafanya biashara za pesa bila kujuwa chanzo ni nini? leo hii ukienda Bank kuweka pesa ndefu tu utaulizwa chanzo lakini watu wanafanya haya kwa uwazi na vibali wanapewa leo unaambiwa hawajulikani? Ila ukilitizama nadhani wanastahili kupigwa ila hii sio mara ya kwanza ni nini kinawafanya watu kuamini ujinga kama huu? inasikitisha sana
 
Kikundi cha wajanja kinakula pesa za wajinga wenye tamaa ya pesa.

Kila siku watu ukiwaambia waachane hizi Pyramid hawasikii.
Binafsi ninabaki kando na furaha yangu kwa maana moja tu, SOMO LIMEFANIKIWA KWA VITENDO. maana kila kukicha haya mambo tunayapigia kelele ila watu hawasikii. Ukute wanachama wa hii ni masalia ya ile deci and co.

Turudie mara ngapi kuwaambia wanadamu wasilie. Kwamba dunia ya sasa ambapo hata kiapo cha ndoa hakiaminiki wala mtoto haaminiki kwa baba au mama yake. Cha bure kwa sasa ni pumzi ya Muumba tu.
 
Exactly, kuipata na kwenda ni vitu viwili tofauti ila vina uhusiano tu... Unaweza kuipata na usiende maana ishu ni kujikimu yaani kutokwenda kuwa tegemezi kwa kodi wanazolipa wenzako... Wakati siye huku tukipewa hizo kodi tunamsifu mama safari yake ilikuwa na manufaa 😂😂
Na hata ukishinda kama Bongo huna michongo ya maana na unatoka familia maskini bado consular anaweza kukunyowa Ndio ninapoona hata Wamarekani nao wanazinguwa vile vile na green card rotary yao.
 
akili gani mkuu watanzania 98% hatuna akili na hatujawahi kuwa na akili na hatuji kuwa nazo kamweeeee

kuna watu humu walipewa saa ya m5 eti itajidabo iwe 10 hahahaha

jana nilikuwa sehemu kijana kachakaa mimi nina nafuu eti anatoa matangazo ya kujiunga na free mason nilicheka sana
Uji wa SEMBE nao unachangia hayo 😂😂 maana virutubisho vya ubongo tunawapa Kuku na nguruwe..
 
Nimesikiliza video kule twitter katika ukurasa wa The chanzo Kuna jamaa anasema 'alialika mpaka watu wa chuoni kwake ikiwa ni wanafunzi mpaka maprofessor na wamepigwa...😅😅😅😅yaani hili ni balaa elimu ya bongo nyoso yaani professor anapigwa kishamba kabisa.
 
Lakini serikali inajukumu la kuwalinda hawa tunaowaita wajinga kuna jamii wanaamini chochote wanachosikia tu sasa sielewi ni ujinga au maisha yanawafanya waamini haya utakumbuka hata ya kule Mwanza sijui yule Mama jina limenitoka akajifanya yeye kama Mungu anapigiwa na magoti lakini serikali ikaingilia. Narudi bado vipi hawa wanaingia nchini wanapata vibali na wanafanya biashara za pesa bila kujuwa chanzo ni nini? leo hii ukienda Bank kuweka pesa ndefu tu utaulizwa chanzo lakini watu wanafanya haya kwa uwazi na vibali wanapewa leo unaambiwa hawajulikani? Ila ukilitizama nadhani wanastahili kupigwa ila hii sio mara ya kwanza ni nini kinawafanya watu kuamini ujinga kama huu? inasikitisha sana

Mkuu tunaweza ilalamikia serikali all we want ila watu wenyewe ilibidi wafanye their due diligence. Nasikia hii kampuni ilikua inatangazwa hadi kwenye vyombo vya habari so inawezekana walikua na vibali vyote halali ila hiyo haimaanishi sio matapeli.

Wabongo wanataka shortcuts na hela rahisi rahisi tu. Hizi story zinatokea so often na watu hawajifunzi. At somepoint watu inabidi wabebe lawama wenyewe badala ya kulalamikia serikali tu. Me nasema acha wapigwe hadi akili ziwakae sawa.
 
Bado wale wanaoliwa kila baada ya lisaa limoja na Radio Stations... Yaani wajinga 100,000 mnachangishwa Mil 100 kwa gharama ya 1000/- kila kichwa Cha mjinga mmoja ... Halafu wanamchagua mjinga mwenzao mmoja Wanampa Mil. 1 wao wanabaki na Mil 99/- 😂😂 halafu wanampigia simu kumpongeza na awashauri wajinga wenzake wazidi kuchangisha hela zao....
 
Mkuu tunaweza ilalamikia serikali all we want ila watu wenyewe ilibidi wafanye their due diligence. Nasikia hii kampuni ilikua inatangazwa hadi kwenye vyombo vya habari so inawezekana walikua na vibali vyote halali ila hiyo haimaanishi sio matapeli.

Wabongo wanataka shortcuts na hela rahisi rahisi tu. Hizi story zinatokea so often na watu hawajifunzi. At somepoint watu inabidi wabebe lawama wenyewe badala ya kulalamikia serikali tu. Me nasema acha wapigwe hadi akili ziwakae sawa.
Nakubaliana na wewe watu wanaamini mambo mepesi ndio maana kamari zimekuwa kama fashion kila mitaa haya mambo ni kama hakuna regulations. Pamoja na hayo serikali inawajibika kutoa vibali kwa watu hawajulikani wanafanya biashara gani.
 
Yeah, kuna group nshawahi kuunganishwa la jamaa wa kushtuana michongo ya hivi.
Yani wao wanaweka hela kitu ikiwa mpya mpya...ikifika mwezi wanatoa faida wanasepa kutafuta mpya nyingine.
Demu wangu amekuwa akifanya hivi zaidi ya mwaka sasa na hajawahi pigwa. Hawa Kalynda kachukua faida mara 3 point something
 
Jionee mwenyewe video ya mtu aliyeenda ofisini kwao 😂

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , Mkome ubishi!
View attachment 2383230
"Walisema Jumatatu tar 10 saa mbili watakuwa ofisini lakini mpaka sasa hivi saa nne hamna mtu, tumeliwa! Vibali vyao vipo lakini kuna fenicha tu ambazo si za kwao, mpangishaji aliwapangisha jengo likiwa na kila kitu ikiwemo laptops, na mpangishaji anawadai pia kodi ya miezi miwili hawajalipa!"

PPia soma;
Jamani nimecheka kicheko cha kimbea🤭
 
NILIKUWA NAHUBIRI KAMA MWAMPOSA WAKIMBIE HAWAKUELEWA [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha mwamposa na huku upo?
 
Back
Top Bottom