Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli ni huzuni sana mkuu yaani ni kisanga kweli kweliBado wale wanaoliwa kila baada ya lisaa limoja na Radio Stations... Yaani wajinga 100,000 mnachangishwa Mil 100 kwa gharama ya 1000/- kila kichwa Cha mjinga mmoja ... Halafu wanamchagua mjinga mwenzao mmoja Wanampa Mil. 1 wao wanabaki na Mil 99/- [emoji23][emoji23] halafu wanampigia simu kumpongeza na awashauri wajinga wenzake wazidi kuchangisha hela zao....
Nchi hii ina wajinga wengi sanaNimesikiliza video kule twitter katika ukurasa wa The chanzo Kuna jamaa anasema 'alialika mpaka watu wa chuoni kwake ikiwa ni wanafunzi mpaka maprofessor na wamepigwa...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]yaani hili ni balaa elimu ya bongo nyoso yaani professor anapigwa kishamba kabisa.
Nchi ina wajinga wengi sanaBado wale wanaoliwa kila baada ya lisaa limoja na Radio Stations... Yaani wajinga 100,000 mnachangishwa Mil 100 kwa gharama ya 1000/- kila kichwa Cha mjinga mmoja ... Halafu wanamchagua mjinga mwenzao mmoja Wanampa Mil. 1 wao wanabaki na Mil 99/- [emoji23][emoji23] halafu wanampigia simu kumpongeza na awashauri wajinga wenzake wazidi kuchangisha hela zao....
Mjng naye,blhblh nyingiyeye mwenyewe anaililia serikali imsaidie katapeliwa milion 2
Watu wanajipigiaKuna wengine wamelizwa leo 1 1 Dec. 2022.
Kampuni ya Lourin imesepa na pesa ya Wadanganyika!
Ipo kampuni nyingine mpya na vijana kibao wameanza kujiunga eti wanavuna mahela!
Kenge asikii hadi atoke damu masikioni.
Niliwakimbia hawa jamaaKuna wengine wamelizwa leo 1 1 Dec. 2022.
Kampuni ya Lourin imesepa na pesa ya Wadanganyika!
Ipo kampuni nyingine mpya na vijana kibao wameanza kujiunga eti wanavuna mahela!
Kenge asikii hadi atoke damu masikioni.