AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Umaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
Alikuwa icon akiwa teen agerUmaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
Issa Wangui. Alikuwa anafanana sana sura na dogo Fei Toto mchezaji. Jamaa alikuwa fundi sana wa rap, maskini mauti yakamchukua 2003 😞E sir wa kenya nae ni mmoja wa iconic pillar kwa mzuki wa kenya alikufa akiwa na miaka 21 tu
Wenzenu ile idea kwamba unaanza kujitegemea ukiwa na miaka 18 wanaiishi kwa vitendo.Umaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
Factkuna enabling environment inayokuza vipaji haraka.