Kama 2PAC alikufa akiwa na miaka 25 basi wenzetu uko USA hupata fursa wakiwa wadogo sana

Umaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
Akiwa na miaka 16 ndo alianza career yake, issue ni fame tu ikiitika hata uwe na miaka 15 watu watasema umepata fursa una miaka 10.

Bob Marley naye alifariki mdogo sana 36Yo
Bruce Lee naye alifariki mdogo sana 32Yo na ni mtu maarufu sana karne ya 20, hao wote wameanza careers zao wakiwa wadogo lakini fame zao ni kubwa mpaka kesho.
 
ulaya mtu mzima anaanzia miaka 18 (hapa ana akili timamu )

kwetu mtu mzima huanza na miaka 40
 
Kipaji na aggressiveness pia;

Kwani kuna wamarekani wangapi wanakufa at that age na hawana kitu.
Wachache mkuu.
Kijana wa miaka 16 toka familia ya kawaida huko ni tofauti ya wa huku kwetu.
Si ajabu huku kwetu kijana wa 20 yrs akawa form 6 ila huko akawa na ajira au anahangaika kupata ajira ya carrier yake.

Cheki live streamers wa huko walivyo mabilionea wenye umri mdogo, fananisha na streamers wa Tz ambao mpaka wamalize vyuo.
 
ulaya mtu mzima anaanzia miaka 18 (hapa ana akili timamu )

kwetu mtu mzima huanza na miaka 40
Hata huku 18 ni mtu mzima, ila inategemeana umetoka background ipi kuna wengine hadi ana miaka 30 unakuta yupo kwao na hana mwelekeo wowote, mwingine ana miaka 21 alishatoka kwao.
 
Wachache mkuu.
Kijana wa miaka 16 toka familia ya kawaida huko ni tofauti ya wa huku kwetu.
Si ajabu huku kwetu kijana wa 20 yrs akawa form 6 ila huko akawa na ajira au anahangaika kupata ajira ya carrier yake.

Cheki live streamers wa huko walivyo mabilionea wenye umri mdogo, fananisha na streamers wa Tz ambao mpaka wamalize vyuo.
Angalia tu toto la mwisho la Trump,lina 20yrs tu lakini tayari unaambiwa lina investment za karibu 100m usd..huku Africa ni wangapi wa umri huo wana hizo pesa?
 
Mazingira, kipaji, connections, nidhamu, bahati na fursa vina mchango mkubwa.
 
Wachache mkuu.
Kijana wa miaka 16 toka familia ya kawaida huko ni tofauti ya wa huku kwetu.
Si ajabu huku kwetu kijana wa 20 yrs akawa form 6 ila huko akawa na ajira au anahangaika kupata ajira ya carrier yake.

Cheki live streamers wa huko walivyo mabilionea wenye umri mdogo, fananisha na streamers wa Tz ambao mpaka wamalize vyuo.
Wote wanakuwa na umaarufu na pesa kama 2pac?
 
Tatizo hatujikubali Dully Skyes, Mr. Blue na Aslay walipata nafasi wakiwa wadogo na wakawa maarufu, Kanumba amefariki akiwa 28 y/o huku Ngweah 31 y/o.
 
Na fulsb iliyopo uko mbele ni fulsa ya kidunia sio usa au ulaya tu
 
Angalia tu toto la mwisho la Trump,lina 20yrs tu lakini tayari unaambiwa lina investment za karibu 100m usd..huku Africa ni wangapi wa umri huo wana hizo pesa?
Kwa Trump mbali mkuu, watu wa kawaida tu wanaanza kujitafuta wakiwa na maarifa na wamemaliza vidato wakiwa na umri mdogo tu.

Huku chuma kinamaliza chuo hamna hamna kina 24 yrs.
 
Back
Top Bottom