Kama 2PAC alikufa akiwa na miaka 25 basi wenzetu uko USA hupata fursa wakiwa wadogo sana

Kama 2PAC alikufa akiwa na miaka 25 basi wenzetu uko USA hupata fursa wakiwa wadogo sana

Mbona Kanumba amefariki akiwa na 28 na tayari alikuwa na umaarufu mkubwa Afrika mashariki na kati, hadi west Afrika walimfahamu.

Pia wanamichezo wengi na wasanii hupata umaarufu mapema. Kipaji ndio shortcut ya mafanikio. Ni kwa dunia nzima.
 
Watimu wa miaka ya nyuma wanavuma wakiwa bado vijana. Hata soggy doggy alikuwa star akiwa mdogo sana .
Naiiiiiiirobii iiiii Mombasa aaaaah, Nakuru kisumu toyebaniiii

Harambeeeeeh eeeeh eeeh harambee eeeh eeh nyayooh,

Twende Nairobi tukamwone baba moi,

Twende Nairobi tukamwone baba moi,
 
Wenzetu wanaanza mishe wakiwa wabichi ,check Lil Bow Wow , Justin Bieber ,Christina Millian ,Augulera ,Beyonce ,Usher walianza wakiwa around 12 ,Michael Jackson alianza akiwa na miaka 6 na mpaka anafikisha miaka 13 ana Album ,miaka 24 ni Bilionea Album yake ya Thriller iliuza mbaya.

Huku kwetu kijana anakaa sawa akiwa na miaka kuanzia 32 lakini kuanzia 18 mpaka 30 hana mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom