Kama 2PAC alikufa akiwa na miaka 25 basi wenzetu uko USA hupata fursa wakiwa wadogo sana

Hata Hapa bongo wasanii wengi Sana wameanza wakiwa wadogo kabisa, kwenye filamu pia ni hivyo hivyo. Kwa Tasnia nyingine ni kwamba mifumo inatuchelewesha Tu, serikali imeweka mazingira Fulani magumu Kwa kujua au kutokujua, kijana 25 majuu hata uelewa wake ni tofauti na mtu wa miaka 30 Hapa TZ...Just Imagine Yule Kanumba kafariki bado mdogo hata 30 bado but ona jina lake lilivyokuwa kubwa.
 
Wenzetu wakiwa na miaka 20 tu tayar wanaaminika kwenye nyanja yoyote ile kama sanaa,michezo,ajira kwenye vitengonyeti vya usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…