Akiwa na miaka 16 ndo alianza career yake, issue ni fame tu ikiitika hata uwe na miaka 15 watu watasema umepata fursa una miaka 10.Umaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
Wachache mkuu.Kipaji na aggressiveness pia;
Kwani kuna wamarekani wangapi wanakufa at that age na hawana kitu.
Hata huku 18 ni mtu mzima, ila inategemeana umetoka background ipi kuna wengine hadi ana miaka 30 unakuta yupo kwao na hana mwelekeo wowote, mwingine ana miaka 21 alishatoka kwao.ulaya mtu mzima anaanzia miaka 18 (hapa ana akili timamu )
kwetu mtu mzima huanza na miaka 40
Huku kwetu mtu kama Wasira bado anajiona eti mtoto...Wenzetu wanaishi mtu akifikisha miaka 30 anajihesabu mzee
Angalia tu toto la mwisho la Trump,lina 20yrs tu lakini tayari unaambiwa lina investment za karibu 100m usd..huku Africa ni wangapi wa umri huo wana hizo pesa?Wachache mkuu.
Kijana wa miaka 16 toka familia ya kawaida huko ni tofauti ya wa huku kwetu.
Si ajabu huku kwetu kijana wa 20 yrs akawa form 6 ila huko akawa na ajira au anahangaika kupata ajira ya carrier yake.
Cheki live streamers wa huko walivyo mabilionea wenye umri mdogo, fananisha na streamers wa Tz ambao mpaka wamalize vyuo.
Babu wa tiktok ana 60+ ila bado linaishi kwao etiSana , miaka 18 mtu anawaza kuondoka nyumbani, sio kuondoka hajui pa kwenda, anaondoka anajua pa kwenda.
Huku sasa miaka 27 mtu yuko nyumbani ramani hazisomeki.
Wote wanakuwa na umaarufu na pesa kama 2pac?Wachache mkuu.
Kijana wa miaka 16 toka familia ya kawaida huko ni tofauti ya wa huku kwetu.
Si ajabu huku kwetu kijana wa 20 yrs akawa form 6 ila huko akawa na ajira au anahangaika kupata ajira ya carrier yake.
Cheki live streamers wa huko walivyo mabilionea wenye umri mdogo, fananisha na streamers wa Tz ambao mpaka wamalize vyuo.
π π π Atakwambia haya Yesu anaishi kwao.Babu wa tiktok ana 60+ ila bado linaishi kwao eti
Marekani kabla hujazaliwa nchi yenyewe tu ni fursa.Umaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
NdioWote wanakuwa na umaarufu na pesa kama 2pac?
Kwa Trump mbali mkuu, watu wa kawaida tu wanaanza kujitafuta wakiwa na maarifa na wamemaliza vidato wakiwa na umri mdogo tu.Angalia tu toto la mwisho la Trump,lina 20yrs tu lakini tayari unaambiwa lina investment za karibu 100m usd..huku Africa ni wangapi wa umri huo wana hizo pesa?
Watimu wa miaka ya nyuma wanavuma wakiwa bado vijana. Hata soggy doggy alikuwa star akiwa mdogo sana .Hata bibiyake secretarybird maman mbilia Bel mbn alivuma akiwa young huku Aunty Yvonne chakachaka nae hivyo hivyo